Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Simba Bingwa mpya 2017 ASFC: Simba 2 vs 1 Mbao FC

Wenye Simba yao wanachungulia tu hapa, wakifunga watakuja kushambulia kama nyuki... Wakifungwa sasa? Hihiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawajiamini na timu yao.![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kipa wa mbao kaumia baada ya kugombea mpira wa faulu ni swala la mda tu mbao wanachukua ndoo na kushiriki kombe kubwa simba wanatakiwa kuwa nje ya ndege za kimataifa(boing)kwa mda
 
Mbao wanakuja juu hapa ..kadi ya njano Simba Mkude.

Dak 70
 
Back
Top Bottom