Simba chagueni moja, msituchanganye

Mkuu unaleta mambo ya Obubakar,uyo Abubakar alihusika kwenye mkataba wa Azam ambao upo wazi na club zitanufaika kwenye huo mkataba kuanzia mshindi wa kwanza mpaka wa mwisho anavuta mkwanja.
Azam sio mdhamini wa ligi kuu.
 
Eleza maana ya uwazi wa kimkataba
 
Mkataba wa ligi lazima wanaoshiriki washirikishwe... Unless kichwa chako kimekatwa unawaza Kwa kutumia makalio...
 
Wewe ndio Una Akili timamu lakini hujui huo mkataba ni Kati ya GSM na Tff!!..Unajua kwanini wameweka kipengele cha kuia kujadiliwa huo mkataba na vilabu vyote vinavyo shiriki ligi?!!..
 
We utakuwa umevimbiwa, hivi umesoma wanachokilalamikia na maswali waliyowauliza tff na bodi ya ligi? Tatizo mnaendekeza mahaba hadi mnakuwa utelezi!
 
Hivi katika hili naomba kujuwa tofauti iko wapi. Azam media ni wadau wakubwa wa league ni kama ndio wadhamini wakuu kwenye media ndio pesa hasa inakotoka sio hao NBC lakini Azam pia wana team inashiriki league kuu pia azam wanadhamini FA Cup pia wao wanashiriki sasa hili la GSM shida ni nini hasa kama wamedhamini kama kampuni ya GSM sio Yanga
 
Wewe ndio Una Akili timamu lakini hujui huo mkataba ni Kati ya GSM na Tff!!..Unajua kwanini wameweka kipengele cha kuia kujadiliwa huo mkataba na vilabu vyote vinavyo shiriki ligi?!!..
Mkataba wa Azam na TFF haukuwa na club na kuna mwandishi alimuhoji mwenyekiti wa TFF kwanini ana sign mkataba kama nani na mwenyekiti akamtolea maneno yule mwandishi na NBC pia na TFF mbona haya maneno hatukusikia lakini uhalisia ilitakiwa bodi ya league ndio wa sign kwa maana team za league kuu shareholders ili wapige kura ila TFF imeburuza huko nyuma na wote kimya leo ndio wanamka. nakubaliana TFF sio kazi yao kuingia mikataba.
 
Tusifanye mambo Kwa mazoea!!..Tufwate taratibu na kanuni tulizojiwekea!!...NBC, Azam walifanya vikao na club zote na kujiridhisha kuhusu maslahi ya Club hizi!!;.. GSM hakufanya hivyo..
 
Tusifanye mambo Kwa mazoea!!..Tufwate taratibu na kanuni tulizojiwekea!!...NBC, Azam walifanya vikao na club zote na kujiridhisha kuhusu maslahi ya Club hizi!!;.. GSM hakufanya hivyo..
Nani alisign mikataba na Azam na NBC? ok ndio maana nimesema wako wanasheria wanatakiwa kusema hapa utaraitibu umekiukwa basi na ikija kwenye mikutano na vilabu mwisho wa siku team zina piga kura je wote wakipitisha Simba watakubali? team nyingi zina shida tu wanatafuta chochote
 
Tusifanye mambo Kwa mazoea!!..Tufwate taratibu na kanuni tulizojiwekea!!...NBC, Azam walifanya vikao na club zote na kujiridhisha kuhusu maslahi ya Club hizi!!;.. GSM hakufanya hivyo..
GSM hawezi kuonana na vilabu yeye kaomba udhamini TFF au bodi ya league wao ndio kazi kupeleka kwenye vikao halali sio GSM, wakulaumiwa hapa ni TFF na bodi ya league sio GSM
 
Wewe ukiwa na shida sio Sisi wote tunashida!!..Hata hujui unasema nini?!!... kwasababu mnashida basi mlishwe sumu Tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
GSM hawezi kuonana na vilabu yeye kaomba udhamini TFF au bodi ya league wao ndio kazi kupeleka kwenye vikao halali sio GSM, wakulaumiwa hapa ni TFF na bodi ya league sio GSM
GSM anajua anafanya kosa lakini kaendelea kufanya na bado vilabu vinyamaze tu
 
GSM hawezi kuonana na vilabu yeye kaomba udhamini TFF au bodi ya league wao ndio kazi kupeleka kwenye vikao halali sio GSM, wakulaumiwa hapa ni TFF na bodi ya league sio GSM
Vilabu huwa vinakaa na body zote kuangalia na anataka kudhamini!!!..Hii GSM ni yake na TFF haihusu vilabu lakini wanataka kupitia Mlango wa Nyuma!!!..
 
GSM Ni tapeli..yaani Simba ipambambane kujikuza kimataifa kwa Jasho..alafu yeye anufaike kwa kutngazwa na Simba kwa milioni 50 kwa mwaka..WTF!!
 
Vilabu ni vingi nani mwingine kaongea zaidi ya Simba.
Unataka Hadi wote waongee ndio ujue kosa!!!...Yani wewe ukiibiwa atasubiria Hadi Mtaa mzima uibiwe ndio useme!!.. Kweli Watanzania bado mnasafari ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…