NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mkuu unaleta mambo ya Obubakar,uyo Abubakar alihusika kwenye mkataba wa Azam ambao upo wazi na club zitanufaika kwenye huo mkataba kuanzia mshindi wa kwanza mpaka wa mwisho anavuta mkwanja.Maofisa wa Yanga na Simba wanajua wanapoenda kujadili mikataba yao mikubwa Azam wanakutana na mtu anaitwa Aboubakar.
Ni mtu huyo huyo ambaye bodi yake iliidhinisha udhamini wa Azam TV kwenye ligi.
Aboubakar huyo huyo ndiye M/kiti wa bodi ya Azam FC. Mbona hili halikujadiliwa tokea mwanzo?
Azam sio mdhamini wa ligi kuu.