Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
Hata kama nitaandika vibaya kinachonekana ni ukweli na Uzito wa Hoja!!..wapi uliona Tajiri anajua kuandika kumzidi masikini?Jifunze kuandika vizuri kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama nitaandika vibaya kinachonekana ni ukweli na Uzito wa Hoja!!..wapi uliona Tajiri anajua kuandika kumzidi masikini?Jifunze kuandika vizuri kwanza
Yani Vunja Bei na Emirates wamemzidi GSM!!!
wewe aliyekuwa uwakilishi wa vilabu vyote na nani? bodi ya league ndio kazi yake sio team mojaUnataka Hadi wote waongee ndio ujue kosa!!!...Yani wewe ukiibiwa atasubiria Hadi Mtaa mzima uibiwe ndio useme!!.. Kweli Watanzania bado mnasafari ndefu
Peleka ujinga wako huko [emoji23][emoji23][emoji23]wewe aliyekuwa uwakilishi wa vilabu vyote na nani? bodi ya league ndio kazi yake sio team moja
Kumbuka GSM ni kampuni siyo YangaEti GSM hawaimiliki Yanga?uwe mkweli bro eng.hersi ana cheo gani?
#4. Yanga hawavai nembo ya NBC, hata msimu ulioisha wa Vodacom Premier League, Yanga hawakuwahi kuvaa nembo ya Vodacom.TFF imesaini mikataba na AZAM MEDIA, NBC lakini hao wote hamjahoji mikataba yao ipoje na hamkushirikishwa kwanini mnajifanya wajuaji mkataba wa GSM?
Ligi yetu (Mbovu) ina jumla ya timu 16 kwanini timu zingine hawajahoji? Nyie ndo mna mawakili wasomi tu eeh?
Sasa chagueni moja mjadala uishe;
1. Kuleta timu uwanjani Jersey zenu zikiwa na Nembo ya boss mkubwa au msuse (Mmepata pa kujificha kuogopa aibu ya kipigo cha mbwa mwizi).
2. Muendelee kuamini Mapopoma wenu wanaoongozwa na GENTAMYCINE na genge lake la wachawi wanaowaaminisha kwamba mtashinda kichawi mbele ya Yanga (wanaomtegemea Mungu) au kumtegemea Mungu.
3. Kuandika barua kwa bodi ya ligi ili isogeze derby iwe mwakani ambapo mtakuwa mmesajili au mlete vikongwe wenu mpate aibu aibu ya kufunga mwaka.
4. Kama hamtaki kuvaa Nembo rudisheni hela za boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdau ongeza chaguzi zingine ili iwe rahisi kuwapa wigo mpana wa kuchagua (OPTIONS)Kilicho bora zaidi.