Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jamani ilikuwa kijijini kweli kama kwenye mapori tengefu ya TzPale mnapoamua kwenda shopping halafu baadae mnajifanya mmetoka kambi ya mazoezi, hawa mikia walikuwa wanacheza kwenye madimbwi ya maji huko Uturuki na ndio maana umeona hakuna tofauti ya waliokuwa kambi pale Bunju.