[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jamani ilikuwa kijijini kweli kama kwenye mapori tengefu ya TzPale mnapoamua kwenda shopping halafu baadae mnajifanya mmetoka kambi ya mazoezi, hawa mikia walikuwa wanacheza kwenye madimbwi ya maji huko Uturuki na ndio maana umeona hakuna tofauti ya waliokuwa kambi pale Bunju.
Ahh una kagonjwa cha manaramoniaVizuri Zaidi Povu langu umeamua Kulijibia Kwa Povu lako! Ngoma Draw.
Mpira Wa Tanzania Hakuanza Leo Simba Day. Period
Kamsemo ka Raisi siku mechi na Kagera Sugar bado kanakuhasili povu ruhusaNingependekeza Mapato Yaliyopatikana Kwenye Simba Day Zipelekwe Wakasaidiwe Hawa Vyura kwakweli Wanatia Huruma.
Waliwashitua ndio maana kipindi cha pili warelaxIvi viongozi hawakuwashtua hawa Kotoko kua Mikia walitakiwa washinde leo yaani wamepewa mualiko alafu wanakomaa,shubamiit....!
Taarifa zenu tunazo tunawasitiri tuPale mnapoamua kwenda shopping halafu baadae mnajifanya mmetoka kambi ya mazoezi, hawa mikia walikuwa wanacheza kwenye madimbwi ya maji huko Uturuki na ndio maana umeona hakuna tofauti ya waliokuwa kambi pale Bunju.
Hiyo mechi ni yule muandikaji wenu Salehe Jembe ndio aliyepanga Sio Yanga.Compare and contrastView attachment 830424View attachment 830426
Wamezoea kucheza na Madereva taxIvi viongozi hawakuwashtua hawa Kotoko kua Mikia walitakiwa washinde leo yaani wamepewa mualiko alafu wanakomaa,shubamiit....!
Bebweni na nyie π π π π π π πJamaa wamebebwa ili washinde ila hawakubebeka
Sisi tumebebwa na bus letu tupo kambini MoroBebweni na nyie π π π π π π π
Mtabebwa sana na bus mwaka huu π π π π πSisi tumebebwa na bus letu tupo kambini Moro
Hahaha, usikute lugha gonganaHawa watangazaji wa AZAM bure kabisa wamenichukiza mpaka nikataka kupiga screen kwa ngumi. Kwa nini hakuimhoji kocha mgeni kuwa amelionaje soka la bongo, na hata azungumzie na waamuzi wetu hasa kuzingatia penalt ilileta gumzo kubwa badala yake anachukua muda mwingi kumhoji mtu ambaye ni kocha mwenyeji ambaye tutakuwa naye kila siku, sasa mgeni anakuja hata hatujamsikia?