Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekufurahisha kwa kipi Alivyoishishimbi penatiKanifurahisha SALAMBA tu mie. 😂😂😂
Yah. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amekufurahisha kwa kipi Alivyoishishimbi penati
Acha umbea leta list A and BNasikia kile ni kikosi cha 3 cha Asante Kotoko
😂😂😂😂 unataka Watani zangu walie sio bure.Nasikia kile ni kikosi cha 3 cha Asante Kotoko
Nimecheka kama mjinga dahNasikia kile ni kikosi cha 3 cha Asante Kotoko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimecheka kama mjinga dah
Anasema ni kikosi cha tatu kimeitoa simba jasho la meno katika uwanja wao wa nyumbani ...hahahahaha ama kweli wale simba koko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kazi wanayo huko Kimataifa.Anasema ni kikosi cha tatu kimeitoa simba jasho la meno katika uwanja wao wa nyumbani ...hahahahaha ama kweli wale simba koko
SanaaaNa kazi wanayo huko Kimataifa.
Moja mojaNgapingapi wakuu
Ila wacha yetu yawe macho.Sanaaa
Acha uvivu googLe utaona 1st 11 yaoAcha umbea leta list A and B
Acha uvivu mbona huleti,nipe linkAcha uvivu googLe utaona 1st 11 yao
Ushaisha dk 20 zilizopita.Mpira umeisha au bado?
Ni bora kuliko Gormahia waliopiga nye 4GNa kazi wanayo huko Kimataifa.
Marudiano tunawafunga huko huko kwaoUshaisha dk 20 zilizopita.
1-1