SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

SIMBA DAY 2018: Friendly match Simba vs Asante Kotoko.

Kiufupi mpira wa tz magumashi

Ndiyo Magumashi Kweli Hasa pale Matokeo yanapokuwa hivi ↓

IMG_20180507_142740.jpg
 
Nasikia kile ni kikosi cha 3 cha Asante Kotoko

Hapana! Wale Ni Madereva Wa Taxi Kutoka Ghana! Kikosi A cha Asante Kotoko Kitakutana Na Yanga hatua Ya Robo Fainali Kwenye Kombe la Shirikisho.
 
Hapana! Wale Ni Madereva Wa Taxi Kutoka Ghana! Kikosi A cha Asante Kotoko Kitakutana Na Yanga hatua Ya Robo Fainali Kwenye Kombe la Shirikisho.
Ikikupendeza tupatie misimamo wa kundi.. Ahsante Gor Mahia
 
Pale mnapoamua kwenda shopping halafu baadae mnajifanya mmetoka kambi ya mazoezi, hawa mikia walikuwa wanacheza kwenye madimbwi ya maji huko Uturuki na ndio maana umeona hakuna tofauti ya waliokuwa kambi pale Bunju.
 
Wenzao walivyoenda walisema wameenda kupeleka sembe,ila hawa wameenda kambini , na hkn nchi nyingine zaidi ya uturuki?
 
Huyu jamaa anayetengenezwa Jedwari la takwimu anatakiwa afukuzwe kazi zaidi ya 80% ya mechi nilizotazama za AZAM TV ball posession lazima iwe 56% kwa 44%,haijalishi mmechezaje mf msimu uliopita Simba mechi yake kwanza ya ligi alishinda bao 8 bila lakini mwisho wa siku ball possession yake ilikuwa 56% na wapinzani wao 44%,wakati simba alitawala karibia 70% ya mechi yote.Jamani kama hao wafanyakazi wenu hawajui mpira watafuteni watu na wanaojua muwape nafasi.
sim.PNG
 
Jamaa aloingia uwanjani leo analala na viatu.
 
Pale mnapoamua kwenda shopping halafu baadae mnajifanya mmetoka kambi ya mazoezi, hawa mikia walikuwa wanacheza kwenye madimbwi ya maji huko Uturuki na ndio maana umeona hakuna tofauti ya waliokuwa kambi pale Bunju.

Nadhani Umekosea Kidogo tu Kuandika Kwani Madimbwi Munayo nyie Jangwani Mdogo Wangu! Uturuki Hakuna Madimbwi.

Kwa Kukufahamisha tu Ni Kuwa Huu Ndiyo Uwanja Tuliofanyia Mazoezi Huko Nchini Uturuki. ↓↓

IMG_20180729_074942.jpg

IMG_20180730_124208.jpg
 
Back
Top Bottom