Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

Sasa na usajili huu wakifeli tena na heka heka hizi wataitwaje?
Hata kabla ya jina.. Manara atakuwa na hali mbaya sana...lakini hawa jamaa kwa majina ni asili yao...
Yeboyebo
Vyura GC
Uto GC
sasa lijalo ni TOZO FC[emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa kaka umenifanya nicheke kwa saut me nlitaka kuwaita Quat Latin ile bendi ya Koffi Olomide
 
........... Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu ......
Hujafa Hujaumbika!

Unajiona mzima umekamilika viungo vyote kumbuka hasira za Mungu muda wowote anaweza akakufanya ukawa mlemavu!
 
watu wameikuta Simba day wao wakaiga mwaka wa pili kufanya wameshaanza kuwasema waanzilishi
 
Eti Makoro FC [emoji23][emoji23][emoji23], Manara [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Sawa mungu wa kibaniani[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…