Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

SIMBA IREKEBISHE BEKI ZAKE HAZIWEZI KABA HASA MIPIRA YA CROSS, KONA, NA ZAIDI MIPIRA YA JUU. HII HUPELEKEA KUFUNGWA MAGOLI MENGI YA FREE HEADER.
MIDFIELD iko vizuri sana ingawa kuna nyakati wanapoteza mipira hovyo hakuna creativity katika kupitisha pasi za mwisho na zaidi magoli mengi ni JUHUDI za STREKA MWENYEWE. Leo goli la mipango ni moja tu lile la KICHWA ambapo umeona kabisa HUSSEIN anapitisha kwa KANDA naye ANAACHIA CROSS MURUA KWA KAGERE..
SHIBOUB YUKO VIZURI SANA ila apunguze Rafu sisizo na maana kwani ni hatari kwenye maeneo ya karibu na goli lake.
Kocha aangalie namna ya kumtumia KAHATA kwani anaonekana hana madhara sana akiwa na mpira kwa maana mara nyingi anatoa back pass.
Wabrazili yule beki sioni akipata namba mbele ya NYONI kwa kifupi sio USAJILI MAKINI katika ubora wanaoutaka SIMBA KUFIKA CAF CL FINAL.
SIONI NAFASI YA AJIBU SIMBA KWA MAANA KWAMBA AJIBU HUWA NI NO 10 kiuhalisia lkn kwa simba nimeona wazi CHAMA AKISOGEZWA JUU hivyo kupelekea AJIBU kukosa nafasi yake.
Simba inahitaji FOWARD MMOJA MWENYE SPEED hasa wa KATIKATI ili kuendana na kasi ya KAHATA NA KANDA. Kumtegemea BOCCO katika CL ni ujinga. Dirisha dogo watafute foward angalau kutoka ligi bora kama SOUTH AFRICA nk.
All in All kikubwa ni Mlinganyo wa timu hii na ile ya Msimu uliopita. hii imeimarika sana ENEO LA KIUNGO, na GOLINI, ila beki na Foward Bado sana kuwafikia timu kama MAZEMBE, AS VITA nk.
Kwangu mimi sijaona utofauti niliotarajia nimeona ni timu ambayo inafungika tena kirahisi kabisa.

UPANDE WA YANGA huko nako sitarajii maajabu sana.
Foward yule sijui SADNEY mzito sana nadhani yule apewe mazoezi maalumu kumpa pumzi za kutosha la sivyo BIGIRIMANA ATASHIKA NAMBA MWANZO MWISHO, Beki sijui Lamine sioni akichukua nafasi ya YONDANI, yule No 3 wao ni mzuri sana tena sana ila hafai kwenye game za ushindani ni MFUPI sana na hana NGUVU za kutosha kukabana na mijitu kama KAGERE nk.
KWA ujumla usajili wa YANGA umewasaidia kidogo ukilinganisha na msimu uliopita hasa
SIBOMANA, BIGIRIMANA, MAPINDUZI, SONSO, IDDY SELEMANI NA BALINYA.

SIMBA nao wamepata watu hasa
SHIBOUB, KAHATA NA FRAGA wengine ni bora wale wa msimu uliopita yaani JUUKO, KOTEI, OKWI.

kwenye MASHINDANO YA KIMATAIFA NATABIRI TIMU ZOTE KUFIKA MAKUNDI.
 
Kiko wapi!!!. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

Ndio sababu Mikia wamekuwa wagumu kutuma picha za leo leo kumbe uwanja mweupeeee. lol.
Sema tenaaaaa, nilikuwa sehemu ya historia hii kubwa ya Mnyama Simbaaa πŸ’ͺ nikimshuhudia mtu mwenye sura ya kazi kaka jambazi Kagere akipiga.
⚽⚽⚽ kaondoka na mpira wake.
.
Hapa sauti imenikauka, sema nishakutafutia mchumba Gerson Fraga Vieira HB kweli kweli inafaa akuachie ka zygote
 
Unaishauri Simba wewe kama nani akati unafahamika wewe ni chura churani?
 
Unaishauri Simba wewe kama nani akati unafahamika wewe ni chura churani?
Ndio maana hatuendelei kwa maana unajaza ujinga kichwani we unadhani WACHAMBUZI HAWANA TIMU ZAO? ILA UNAWEKA PEMBENI UNACHAMBUA KIMPIRA. siku tukiaacha ushabiki maandazi tutafika mbali sana. WE UMEONA WAZI DYNAMOS WALIKUWA WANAPOTEZA MIPIRA HOVYO SANA.. UMEJIULIZA WANGEKUWA HAWAPOTEZI? NDIVYO MPIRA UNAVYOANGALIWA.
 
Hahaha negativity zako kuhusu Simba ziko nyingi sana nikiamua kukufukulia utalia huwezi kuishauri.
.
Shauri mbuteni huko saivi mnalalamika mmepigwa hela siku ya vyura vyurani, Simba tunashauriwa na Fc Porto au au Sevilla sio wewe
 
Sema vyote Mtani.

Saa umerudi nayo mana jana nasikia mashabiki mliowazoa zoa mtaani walikuwa wanawakwapua tu tena mule mule ndani ya kiwanja.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mtani ujue nina masaa yangu ya kukaa Jf yakishaisha ni lazima nitoke hivyo ni ngumu sana kuniona mida ile Mtani.

Nimekuja japo lile goli la kwanza ni kipa kawapa. Nimemuelewa mchezaji mmoja tu pale.
 
Wachezaj wapya lakini washazoeana aiseeh, Kanda nimeona ule moto, shiboub habari nyingine pale kati, kahata dahhhh anakiwasha sana pale kati,,, yule beki mbrazil ni shidah,,

Hakika Simba is nexty level

Simba imesheheni vipaji,,,

Nawaza tuu siku tukicheza na mtani alafu tukamkandamiza nyingi kama 10 hivi kuna wa Tanzania wanaweza jitoa uhai ujue asee ..[emoji1][emoji1] ushabiki mbaya sanaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…