Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Hahaha negativity zako kuhusu Simba ziko nyingi sana nikiamua kukufukulia utalia huwezi kuishauri.
.
Shauri mbuteni huko saivi mnalalamika mmepigwa hela siku ya vyura vyurani, Simba tunashauriwa na Fc Porto au au Sevilla sio wewe
Halafu anasema eti timu zote zitafika makundi,khaaa Yanga na Township akumbuke hili
 
Walikujibu hili swali kweli Mkuu?

Au ndio wanapiga zogo huku hawajui alikuwa nafasi ya ngapi?

Mikia chukueni hiyo. πŸ’ƒπŸ’ƒ msome Points na mechi alizopoteza.
View attachment 1174180
Hahaha sio kwa kuteseka uku;
ama kweli sindano ya Jana iliwachoma kweli kweli.

Hii ni dynamo ni timu kubwa na ina mafanikio kuliko hata simba na yanga.

Imeshawahi baba kombe la club bingwa Africa la CUF.

Imeshafika robo fainali Mara 6 katika michuano ya Club bingwa Africa.

Ni team ya tatu kwa vikombe nchini Zambia baada ya zesco na nkana.

NB: kariobangi hana historia yeyote zaidi ya kubeba sports pesa cub;
 
Hahahah. Manara anakwambia kalolanya ndio aliefanya yanga wasifungwe 10 na simba msimu uliopita
Huwa nawazaga! Ivi siku itokee members wote wa jamii forum tukutane, afu kila mtu ataje coment yake aliyo changia, watu watakufa na kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…