Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
πππ jamaani mdogo wangu lol.Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa piga haooooooo simba tatu@shadeeya usijifiche njoo huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππ jamaani mdogo wangu lol.Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa piga haooooooo simba tatu@shadeeya usijifiche njoo huku
Wacha weeeHahhaha simba rahaaa sanaaa
πππUmemsoma ratiba zake ee
Hahaaaa. Kama nakuona vile. Nimecheka mana nimekumbuka mbali sana. πππEeeeeeee kidedea simba juuuu
Hahahaaa. Si uwataje tu Mtani.Kuna watu walikuwa wanaulizia picha sa ivi siwaoni tena wakiulizia
Hahahaaa. LolAtaonekana baada ya 2days
Walikujibu hili swali kweli Mkuu?Hii dynamos ilikuwa ya ngapi kwenye ligi?
Hawez kuja ana maumivu mnoo
πππ huu ni zaidi ya uchokozi mjue.Kuna boksi lake la panadol hapaππππ
Halafu anasema eti timu zote zitafika makundi,khaaa Yanga na Township akumbuke hiliHahaha negativity zako kuhusu Simba ziko nyingi sana nikiamua kukufukulia utalia huwezi kuishauri.
.
Shauri mbuteni huko saivi mnalalamika mmepigwa hela siku ya vyura vyurani, Simba tunashauriwa na Fc Porto au au Sevilla sio wewe
Lipuli ilikuwa ya ngapi TPL?Walikujibu hili swali kweli Mkuu?
Au ndio wanapiga zogo huku hawajui alikuwa nafasi ya ngapi?
Mikia chukueni hiyo. ππ msome Points na mechi alizopoteza.
View attachment 1174180
Tunaitambua mtani, unaongeleaje kiwango cha simba kwa sasaπ π mida yangu hii Mtani.
KaribuKumekucha nimerudi Mtani. πππ
πππ sijaielewa maana yako hapa Mtani. Unamaanisha?Lipuli ilikuwa ya ngapi TPL?
Kuna mchezaji mmoja ndio nimemuelewa yule Kanda..bongomani.Tunaitambua mtani, unaongeleaje kiwango cha simba kwa sasa
Umeme ulirudi kumbe, vizuri ulipata muda wa kusafisha machoKuna mchezaji mmoja ndio nimemuelewa yule Kanda..bongomani.
Lipuli iliigonga kwasu kwasu[emoji3][emoji3][emoji3] sijaielewa maana yako hapa Mtani. Unamaanisha?
Hahaha sio kwa kuteseka uku;Walikujibu hili swali kweli Mkuu?
Au ndio wanapiga zogo huku hawajui alikuwa nafasi ya ngapi?
Mikia chukueni hiyo. ππ msome Points na mechi alizopoteza.
View attachment 1174180
Huwa nawazaga! Ivi siku itokee members wote wa jamii forum tukutane, afu kila mtu ataje coment yake aliyo changia, watu watakufa na kucheka