Too late ishatolewa.Week Yote Hii Ni Live πππ
Mkuu hao Kariobangi jana wamepigwa na KMC goli mbili, vitambi fc wameshindwa kuwafungaNyie mliopigwa ndani nje na Lipuli,ilikuwa ya ngapi? Gugo pia na Kariobang ilikuwa ya ngapi.nasubiri jibu mtani
Ndo uzuri mdogo wangu. Haya jipange jumamosi nkupitie Yanga tutacheza. πNililala uzuri jana
Tatizo hapa kila mmoja avutie upande wake Mtani. Sababu kama mie naona letu lilifana sana tu.Tamasha letu lilifana na lilikuwa kubwa sana kuliko lenu kubali mtani asiyekubali kushindwa si mshindani πππ usimsahau Vieira nimekuchukulia namba
Karibu karibu Mtani mjiandae tu mana tutawazomea mbaya.Shadeeya uwanjani kama kawaida... hata game ya Township tutakuwa wote
Dada n muongo nkana msimu uliopita ajapata nafsi yoyote ya kushiliki michuano ya kimataifa iyo n table ya msimu ule alivyotolewa n simbaWalikujibu hili swali kweli Mkuu?
Au ndio wanapiga zogo huku hawajui alikuwa nafasi ya ngapi?
Mikia chukueni hiyo. [emoji126][emoji126] msome Points na mechi alizopoteza.
View attachment 1174180
Tunawategemea muonyeshe kweli mnaweza sio maneno tuKaribu karibu Mtani mjiandae tu mana tutawazomea mbaya.
Maana najua hamtakosekana mashabiki wa Township.
Ooh. Sawa.Dada n muongo nkana msimu uliopita ajapata nafsi yoyote ya kushiliki michuano ya kimataifa iyo n table ya msimu ule alivyotolewa n simba
Hilo wala lisikutie hofu Mtani.Tunawategemea muonyeshe kweli mnaweza sio maneno tu
Asante mkuu
Hahahhaah link ya nini mtaniSasa Mtani hayo yote wameyafanya mwaka gani hebu nipatie details kidogo angalau nipate kukuelewa.
Au nipe link nikayaone yote hayo.
Sitaki upate presha za kupanda na kushuka Mimi;Bado sana jamani
Mimi mkivuka hatua ya awali tu
Ooh. Sawa.
Hivyo msimu wa 2018/ 2019 Power Dimano kashika nafasi ya ngapi au ndio mabingwa?
Tutakuwa tunatizama taarifa ya habari
Vipi bado una mashaka na uwezo ashk, na morari za wanamsimbazi?Nalijua hilo Mkuu. Ila wenzetu mlisema leo ni kama holiday hivyo hamwendi kazini nyie mkiamka tu uelekeo kwa Mkapa.
Kama OKW BOBAN SUNZU kasingizia ugonjwa ili akaongeze idadi Uwanjani. [emoji3][emoji3]