Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Simba Day,This is Next Level!Nchi inazizima

Shadeeya uwanjani kama kawaida... hata game ya Township tutakuwa wote
 
Tamasha letu lilifana na lilikuwa kubwa sana kuliko lenu kubali mtani asiyekubali kushindwa si mshindani 😂😂😂 usimsahau Vieira nimekuchukulia namba
Tatizo hapa kila mmoja avutie upande wake Mtani. Sababu kama mie naona letu lilifana sana tu.
 
Walikujibu hili swali kweli Mkuu?

Au ndio wanapiga zogo huku hawajui alikuwa nafasi ya ngapi?

Mikia chukueni hiyo. [emoji126][emoji126] msome Points na mechi alizopoteza.
View attachment 1174180
Dada n muongo nkana msimu uliopita ajapata nafsi yoyote ya kushiliki michuano ya kimataifa iyo n table ya msimu ule alivyotolewa n simba
 
[emoji16][emoji16]
Screenshot_20190807-123508.jpeg
 
Dada n muongo nkana msimu uliopita ajapata nafsi yoyote ya kushiliki michuano ya kimataifa iyo n table ya msimu ule alivyotolewa n simba
Ooh. Sawa.

Hivyo msimu wa 2018/ 2019 Power Dimano kashika nafasi ya ngapi au ndio mabingwa?
 
Nalijua hilo Mkuu. Ila wenzetu mlisema leo ni kama holiday hivyo hamwendi kazini nyie mkiamka tu uelekeo kwa Mkapa.

Kama OKW BOBAN SUNZU kasingizia ugonjwa ili akaongeze idadi Uwanjani. [emoji3][emoji3]
Vipi bado una mashaka na uwezo ashk, na morari za wanamsimbazi?
 
Back
Top Bottom