Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Labda kapita anganiUmepita Taifa kutokea wapi na kwenda wapi mkuu mana wamefunga njia toka saa tano.
Itakuwa aiseee. 😀😀😀Wanaanda chakula kwa ajili ya wachezaj
Mkuu acha watu waende uwanjani tumekodi na Wa uhuru pale pembeni acha watu wajimwage.Uwanja umechafuka hapa Azam Tv, kama bado upo home bora ubaki tu kwenye Tv
Tickets zipo za kutosha acha kupotosha umatickets za buku tano zimekwisha,kama upo home unajiandaa kuja kwa kiingilio cha elfu tano usije, utapoteza muda tu
😳😳😳😳 Yanga tumekuwa Mambumbumbu Mtani. Hebu usitumilikishe jina lenu. 😀😀Naona umekuja kuungana Na mambumbumbu wenzako
Acha mkuu Yanga ni wachawi walikuwa kwenye maombezi siku ya jumapili ndio maana hawakwenda uwanjani.Hawa binadamu leo wamechukua likizo katika shughuli zao za kila siku ? Au hawana shughuli za kila siku ?, Sababu hii mida nilitegemea wenzetu tunaosukuma gurudumu la maisha tuwe bado tunafanya hivyo... kwahio huenda kwa Yanga kutokujaza uwanja sababu ni wachapakazi walikuwa kazini....
Umehudhuria?Mwana yangu unaitwa mahali
Wachapakazi ndio wanafanya nchi iendelee.., sasa hawa siku ya kazi kuanzia asubuhi viwanjani inabidi tuchunguze biashara zao isije ikawa usiku tukifunga mageti ndio wanaingia kazini...Acha mkuu Yanga ni wachawi walikuwa kwenye maombezi siku ya jumapili ndio maana hawakwenda uwanjani.
Vibarua wetu Yanga wapo wanatuwakilisha ofisini. Wacha wenye nafasi tumshangilie mnyama kwenye sherehe yake.Wachapakazi ndio wanafanya nchi iendelee.., sasa hawa siku ya kazi kuanzia asubuhi viwanjani inabidi tuchunguze biashara zao isije ikawa usiku tukifunga mageti ndio wanaingia kazini...
Feki hizoTickets zipo za kutosha acha kupotosha uma
Leo siku ya furaha lazima tufurahItakuwa aiseee. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ulijaa siku tunacheza na Al Ahly mkuu unashangaa leo?! Unachotakiwa kujua mpira unapendwa sana na Watanzania, tatizo viongozi wetu.Leo ni siku ya kazi,uwanja hauwezi kujaa Mimi ni Simba damu lakini nilichogundua leo ukitaka kujua watu wasiokuwa na kazi au ajira Tanzania nenda uwanja wa Taifa.
Tunajaza viwanja vyote kwa jeurMkuu acha watu waende uwanjani tumekodi na Wa uhuru pale pembeni acha watu wajimwage.