Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Leo hamna raha[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Yanga tumekuwa Mambumbumbu Mtani. Hebu usitumilikishe jina lenu. [emoji3][emoji3]
Nilidhani uchapakazi ndio sifa ya kujivunia kumbe hata ukupe na unyonyaji ni sifa...., anyway nadhati timu ya watu.., timu ya wananchi inamaana zaidi kuliko timu ya wachache... ni maoni yangu tu huenda nisiwe sawa...Vibarua wetu Yanga wapo wanatuwakilisha ofisini. Wacha wenye nafasi tumshangilie mnyama kwenye sherehe yake.
IGA ufe!Kumbe mashabiki wengi wa Simba sio wafanyakazi wa Serikali kama wa Yanga a.k.a Vyura Aliyepanga hii ratiba amewauza Simba huo ndio ukweli RC Makonda hao ndio panya road sasa uliokuwa unawatafuta
Hii ni timu ya Wenye Nchi we endelea na timu ya WananchiNilidhani uchapakazi ndio sifa ya kujivunia kumbe hata ukupe na unyonyaji ni sifa...., anyway nadhati timu ya watu.., timu ya wananchi inamaana zaidi kuliko timu ya wachache... ni maoni yangu tu huenda nisiwe sawa...
FIFAMabingwa watarajiwa wa nn [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28]
Aliyetoa hio statement hajui impact yake..., ukizingatia majority ni wananchi hao so called wenye nchi ni watu wa kupita, makupe, wanyonyaji..., nchi ni ya wananchiHii ni timu ya Wenye Nchi we endelea na timu ya Wananchi
Yanga ni aina gani ya mboga?Photoshop adobe hahahaha, yanga ndiyo mpango mzima, utashabikiaje kitu rangi nyekundu?
Mashabiki wengi wa Simba ni Walinzi, Wazee wa night kali ,Vibaka wa ubungo Terminal,Wazururaji kwa utafiti wangu nilioufanya leo huo ndio ukweli japokuwa mimi ni Simba lakini ukweli usemweIGA ufe!
Unaebola nini?Mashabiki wengi wa Simba ni Walinzi, Wazee wa night kali ,Vibaka wa ubungo Terminal,Wazururaji kwa utafiti wangu nilioufanya leo huo ndio ukweli japokuwa mimi ni Simba lakini ukweli usemwe
Ulijaa siku tunacheza na Al Ahly mkuu unashangaa leo?! Unachotakiwa kujua mpira unapendwa sana na Watanzania, tatizo viongozi wetu.
Hizi ni Lugha za michezo. Kama inakuuma chomoa..!Aliyetoa hio statement hajui impact yake..., ukizingatia majority ni wananchi hao so called wenye nchi ni watu wa kupita, makupe, wanyonyaji..., nchi ni ya wananchi