La Biblicana
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 556
- 343
Eti nchi imezizima 😀 😀 😀
Nyie watu, nchi hii haiishii Buguruni.
Nyie watu, nchi hii haiishii Buguruni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.View attachment 1173544
View attachment 1173553
View attachment 1173554
View attachment 1173557
Mabingwa wa watarajiwa wa CAF Championship leo wanahitimisha Simba Day,This is Next Level.
Shamrashamra zimeendelea mitaa yote ya Dar na mikoani kuelekea jioni ya leo kushuhudia kandanda saaafi.
Jiunge nasi hapa JF kupata updates za mchakato mzima wa Simba Day,This is Next Level
Mmmh! Siku hizi editing ni nyingi sana Mkuu hasa mitandaoni.
😆😆😆😆😆Serikali ni bora ingefanya hii siku kuwa ya mapumziko. Kuliko vurugu hizi
Ohoooo !!
Juzi mlijitahidi nanyie kufikia robo yetu, endeleeni kuiga mtafanikiwa kujaza siku mojaNimechoka bana 😍😍 nenda uwe unaniambia yaendeleayo huko.😅😅😅.
Mana wenzio wamegoma kutupa updates.
Kwa hiyo wewe shida yako muda au report ya siku?rudi tena Yanga mkubwa weweeeeee
Aisee unatuombea mabaya hivi😀😀😀 nmecheka. Hahahahaaa. Lol
Sikuhudhuria ndug yanguUmehudhuria?
Na hatuwezi kufungwaOle wenu mfungwe.....uwanja umetapika mbaya
Hahaha bado unataka picha za leo
Hahahaha yamekuwa haya tena mtanaLengo waifunike siku ya wananchi. Kimbembe saa ya kutoka wataibiana hao. Mana wengi ni vibaka.