Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.

Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani.

Hapa lilikuwa ni jambo la kitongoji sio?

1685270366952.png
 
Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.

Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani..
Kuamini kuwa Simba wana uwezo wa kunyesha mvua ni utaahira uliotukuka
 
Kuwepo mjini kitambo na una akili kisoda ni uduwanzi. Wewe uliyezaliwa hapa una mafanikio gani kimaisha kama unaendekeza mawazo muflisi ya kishirikia. Nakuona fala tu.
Unateseka sana, nenda jukwaa la intelligence huku jukwaa la sports waache watu wa mpira Kenge wewe.
 
Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.

Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani..
Teh teh teh 😂😂 wanadai hayo ni mawimbi ya bahari yameelekezwa hapo....😂😂😂..

Yanga kwani haina 'mafundi' wake wafunge hizo koki ?..😂😂
 
Back
Top Bottom