Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #41
Game haijaisha bado, hata tukipoteza matokeo ya jumla hatuna cha kuidai timu yetu, mpaka sasa wanachotupa ni bonus.Yaani leo simba wamezingua sana, Inonga badala aruke kichwa kaacha mpaka USM Alger wakafunga goli la kwanza
Tupandishe na takwimu za Kibu Denis na mfungaji bora Africa Fiston Mayele.
Mafuta na maji vimeshajitenga.