Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kuamini kuwa Simba wana uwezo wa kunyesha mvua ni utaahira uliotukukaSimba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.
Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani..
Wewe umekuja juzi mjini na mbio za mwenge hujui lolote kaa kimya.Kuamini kuwa Simba wana uwezo wa kunyesha mvua ni utaahira uliotukuka
Simba imecheza fainali lini ya CAF confederation?
Fainali za CAF ndio ushiriki pekee unaotambulika kuiwakilisha nchi mpaka kufanya iwe jambo la kitaifa?Simba imecheza fainali lini ya CAF confederation?
πππππLazima mfungwe leo
Kuwepo mjini kitambo na una akili kisoda ni uduwanzi. Wewe uliyezaliwa hapa una mafanikio gani kimaisha kama unaendekeza mawazo muflisi ya kishirikina. Nakuona fala tu.Wewe umekuja juzi mjini na mbio za mwenge hujui lolote kaa kimya.
Unateseka sana, nenda jukwaa la intelligence huku jukwaa la sports waache watu wa mpira Kenge wewe.Kuwepo mjini kitambo na una akili kisoda ni uduwanzi. Wewe uliyezaliwa hapa una mafanikio gani kimaisha kama unaendekeza mawazo muflisi ya kishirikia. Nakuona fala tu.
Fala tu mbwiga wewe,mnaojifanya watoto wa mjini ndiyo mnaishia kubokolewa tu.Unateseka sana, nenda jukwaa la intelligence huku jukwaa la sports waache watu wa mpira Kenge wewe.
Jambo la kifamilia
Namshanga huyu mbwigaKwani [emoji196] kwenye maji si kwake, sasa mbona lawama kwa Mnyama?
It's not that serious mzee,thread km hii inakutoaje povu mtu mzima ww aseeKuwepo mjini kitambo na una akili kisoda ni uduwanzi. Wewe uliyezaliwa hapa una mafanikio gani kimaisha kama unaendekeza mawazo muflisi ya kishirikina. Nakuona fala tu.
Teh teh teh ππ wanadai hayo ni mawimbi ya bahari yameelekezwa hapo....πππ..Simba tuache wivu wa kipumbavu, hii mvua tunajuwa wazi siyo swala la season Bali ni wivu wa kijinga tu kuharibu Burudani ya Kihistoria.
Acheni hizo bana, ushindi wa Yanga ni heshima kwa Taifa, hebu fungeni hizo koki za mvua yenu ya kishirikina watu wafurahie Burudani..