Simba fainali hii ni jambo la Kitaifa, ila mnaonekana mmedhamiria kuharibu hii burudani

Acheni visingizio na woga wa kijinga.
 
Mvua za masika ndio zinaaga hivyo mkuu..na bwana winter ndio anaingia mzigoni.
 
Teh teh teh [emoji23][emoji23] wanadai hayo ni mawimbi ya bahari yameelekezwa hapo....[emoji23][emoji23][emoji23]..

Yanga kwani haina 'mafundi' wake wafunge hizo koki ?..[emoji23][emoji23]
Wana mzee mpili na watu wake
Your browser is not able to display this video.
 

Hivi Kitaifa una Maana gani?
Hii imekuwa Timu ya Taifa???
Tuacheni ushabiki..
waache watu na maamuzi yao na Mioyo yao na Imani zao!
Tusifanye kitu kwa mapenzi ya Mtu au kikundi cha Watu tukalazimisha kuwa ni jambo la Kitaifa[emoji30][emoji30]
 
Yaani leo simba wamezingua sana, Inonga badala aruke kichwa kaacha mpaka USM Alger wakafunga goli la kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…