Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #41
Game haijaisha bado, hata tukipoteza matokeo ya jumla hatuna cha kuidai timu yetu, mpaka sasa wanachotupa ni bonus.Yaani leo simba wamezingua sana, Inonga badala aruke kichwa kaacha mpaka USM Alger wakafunga goli la kwanza
Mkuu taratibu hawa nyani wa pori la utopolo wana hasira sana wanaweza kukudhuruView attachment 2638352
Kataa na hili hapa pimbi wewe,bora hata Simba walifanya lifike Tanzania.Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC
Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...www.jamiiforums.com
Kataa na hili hapa pimbi wewe,bora hata Simba walifanya lifike Tanzania. View attachment 2638387View attachment 2638388
Unahamisha magoli tu.Kwa mujibu wa CAF, hizi ndio timu zilizotwaa Ubingwa wa CAFCC tangu kuanzishwa kwake
[emoji471] 2004 - [emoji1110] Heart of OAK [emoji471] 2005 - [emoji1173] FAR Rabat [emoji471] 2006 - [emoji1249] ES Setif [emoji471] 2007 - [emoji1249] CS Sfaxien [emoji471] 2008 - [emoji1249] CS Sfaxien [emoji471] 2009 - [emoji1159] Stade Malen [emoji471] 2010 - [emoji1173] FUS Rabat [emoji471]...www.jamiiforums.com
Na wamefungwaaa kweliiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima mfungwe leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umekuja juzi mjini na mbio za mwenge hujui lolote kaa kimya.
Tumeshazuiaaaa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makolo zuieni mvua yenu hii ya kichawi.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh [emoji23][emoji23] wanadai hayo ni mawimbi ya bahari yameelekezwa hapo....[emoji23][emoji23][emoji23]..
Yanga kwani haina 'mafundi' wake wafunge hizo koki ?..[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kichwa mbonyezooo mchezoooo?Yaani leo simba wamezingua sana, Inonga badala aruke kichwa kaacha mpaka USM Alger wakafunga goli la kwanza
Wangetamba sanaNa wamefungwaaa kweliiiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilidhani ni utani. Jana nimesikiliza michezo ndo nikaamini kuna ukweli kwenye utani.Kwani yanga wameacha lini kuwa mataahira????