Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally mtu msomi, mchambuzi mwenye skills zake. Anaendana na mashabiki wake na sio yule..... pamoja narangi yake bado alikuw anavaa mavazi ya ajabu! kisa tu anataka kuwa kama Diamond!
Ahmeid Ally kama mtangazaji ni mtu mwenye heshima zake na amebase kwenye maadili yake ya kiislamu, hutamuona kavaa majinsi yaliyo chanikachanika! I
Msemaji unatembea na mabodigadi ili iweje. Kutembea na mibodgadi sio ndio heshima hakaaa! Ahmed Ally tutakupa heshima hivi hivi bila hata maulinzi ya kijinga!
Halafu kwani Kiongozi kupanda kwenye gari la matangazo ni nongwaaa? huu ubishoo ndio uliokufanya uwe na dharau na kupandisha mabega kwa viongozi wa wa Simba!
Staili yako Ahmed Ally imenikosha sana kama shabiki endelea hivyohivyo!
Ahmed Ally ni mtu wa watu sema tu MANARA ANAWIVU SANA!
Et! Me nilishapita huko.... sio level yangu yaan hili jamaa hamnazo.
Level yako wewe ni kukata miundo... hata ukate miuno vp hiyo color haitoki!