Simba inakomazwa kimataifa mara ngapi? Ni mara ya ngapi hii simba inaishia hapo ilipoishia? Ebu tafuta kwanza takwimu ndio urudi hapa, hii ni mara ya tatu simba anaingia robo fainali, Shirikisho kaingia mara moja na klabu bingwa kaingia mara 2, jumla mara 3, unataka ukomavu upi unaouongelea labda? Kama ni kukomaa walishakomaa kwaiyo akuna jipya hapo uwezo umeishia hapo na unaposema ukodi kosta kwenda kuwapokea walioshindwa ni sawa na kuwadumaza kiakili wachezaji waendelee kujiona walichofanya ni sahihi kabisa kila msimu kuishia hatua iyo