Simba fanyeni usajili wa wachezaji watakaowavusha zaidi ya hapo, vinginevyo wimbo utabaki kuwa ule ule miaka yote

Hiyo kasi ya Yanga inatoka wapi hali ya kuwa alitolewa kwenye hayo mashindano raundi ya 2 tena na kitimu cha hovyo?
 
Hivi ujue MO ana 49% pekee.
Hao wenye 51% ambao ni Wanachama wao wana mchango upi?
 
Saa nyingine mpunguzage upumbavu unamlaumu Mo, vipi kuhusu nyinyi wana chama mnao miliki asilimia 51 ya hisa?
 
Hakuna timu ya Mchongo itavuka hatua ya Robo fainali kwenda nusu.

Ata mrudiane mara 10 Kila timu ikiwa na wachezaji wake Nyota, Kama wewe ni wa mchongo huvuki hatua iyo.
Tuache polimilai tuwekeze kwenye timu na wataalamu.
 
Huu ushakua wimbo tu, "wamejitaidi sana" hata taifa stars hivyo na simba, wimbo ule ule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…