Ndiyo, kandanda la kuvutia tuliliona jana Mbeya na mkapata point zenu za kutosha -3
Unaumwa,, rudi mbeya doz haikutoshaa
Walioanza ushabiki wa mpira mwaka huu utawajua tu,maana hawajui kuwa timu iliyochukua UBINGWA WA TZ MARA NYINGI NI YANGA,NA HIYO SIMBA MISIMU KARIBIA MINNE ILIKUWA INAISHIA WA 3.Shabiki wa Yanga
UKIONA MTU ANASIFIA YA ZAMANI UJUE TAYARI KISHALIWA HUYOOO. YAANI KATOA 0712......., Simba si ya kufananishwa na vitu vya KIJINGA kama YANGAWalioanza ushabiki wa mpira mwaka huu utawajua tu,maana hawajui kuwa timu iliyochukua UBINGWA WA TZ MARA NYINGI NI YANGA,NA HIYO SIMBA MISIMU KARIBIA MINNE ILIKUWA INAISHIA WA 3.
blaza unaisoma Namba mpaka maruwe ruweNdugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.
Mi situmii hiyo 0712 .......Tena wewe ni bwege,hujui kuwa hata kwenye mtihani husipokumbuka vya siku za nyuma ulivyofundishwa hutofaulu .......Kama HUKUMBUKI VILIVYOPITA BASI MAANA YAKE HATA LIGI HUU NDIO MSIMU WAKE WA KWANZA HAIJAWAHI KUFANYIKA,NA UKISEMA ILIANZA MWAKA FULANI BASI MAANA YAKE WAPO WANAOONGOZA KWA KUUCHUKUA UBINGWA.UKIONA MTU ANASIFIA YA ZAMANI UJUE TAYARI KISHALIWA HUYOOO. YAANI NIMETOA 0712......., Simba si ya kufananishwa na vitu vya KIJINGA kama YANGA
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Kwakweli maguful anakaz kama ni nchi ya machizi hii sasa imekithiriNdugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.
Wengi sana aseeeNani kasema Tanzania hakuna wachawi..
Toka weweeeNdugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.