Simba fukuza kocha haraka sana

Simba fukuza kocha haraka sana

Walioanza ushabiki wa mpira mwaka huu utawajua tu,maana hawajui kuwa timu iliyochukua UBINGWA WA TZ MARA NYINGI NI YANGA,NA HIYO SIMBA MISIMU KARIBIA MINNE ILIKUWA INAISHIA WA 3.
UKIONA MTU ANASIFIA YA ZAMANI UJUE TAYARI KISHALIWA HUYOOO. YAANI KATOA 0712......., Simba si ya kufananishwa na vitu vya KIJINGA kama YANGA

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Simba gani huyu? Yaani zile konfuu za Yanga pale mbeya ndio mpira wa kuvutia? Tutaremba baada ya ubingwa,acha sasa tuendelee kutafuna.
 
Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.
blaza unaisoma Namba mpaka maruwe ruwe
 
Jf where we dare to speak openly.
 
"Linga Ulimwelu, Bhikusyosya Ingambaku"
Ndagha Fijo MBEYA CITY Kyala Abhasajighe Naloli, Bhanyambalaaa Sibhagile Inyali YANGA"
"MOMUMO LELO Abhakusi Tulikumwanya Tukubhaketa Itolo bha Mwalomwalo"
Uswe Tukuti "IMOOOOOOO"
[emoji13][emoji13][emoji13]
 
UKIONA MTU ANASIFIA YA ZAMANI UJUE TAYARI KISHALIWA HUYOOO. YAANI NIMETOA 0712......., Simba si ya kufananishwa na vitu vya KIJINGA kama YANGA

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Mi situmii hiyo 0712 .......Tena wewe ni bwege,hujui kuwa hata kwenye mtihani husipokumbuka vya siku za nyuma ulivyofundishwa hutofaulu .......Kama HUKUMBUKI VILIVYOPITA BASI MAANA YAKE HATA LIGI HUU NDIO MSIMU WAKE WA KWANZA HAIJAWAHI KUFANYIKA,NA UKISEMA ILIANZA MWAKA FULANI BASI MAANA YAKE WAPO WANAOONGOZA KWA KUUCHUKUA UBINGWA.
 
Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.
Kwakweli maguful anakaz kama ni nchi ya machizi hii sasa imekithiri
 
Mkodisho FC sasa Munatafuta Gia Nyengine Ya Kutokea baada hile Ya Kufukuza Mwizi Kimyakimya Walima Mpunga Wa Mbeya Kuwabadilishia Angani??
 
Siyo utakuwa unatokea upande wa akina mwajuma ndala ndefu
 
Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu.
Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa simba umfukuze huyu kocha na mlete kocha wakufundisha mpira wa kuvutia. Kushinda mechi ni poa lakini kama chama kubwa tunataka kandanda la kulemba na kuvutia.
Toka weweee
 
Back
Top Bottom