samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Ndiyo, kandanda la kuvutia tuliliona jana Mbeya na mkapata point zenu za kutosha -3
Unaumwa,, rudi mbeya doz haikutoshaa
Walioanza ushabiki wa mpira mwaka huu utawajua tu,maana hawajui kuwa timu iliyochukua UBINGWA WA TZ MARA NYINGI NI YANGA,NA HIYO SIMBA MISIMU KARIBIA MINNE ILIKUWA INAISHIA WA 3.Shabiki wa Yanga