Simba haitokuja maliza top 3 kama Al hilal wataruhusiwa NBC ligi

Hawa [emoji196][emoji196]wanacheza kwa kimbizana kama nyani wanaovizia kuiba mahindi shambani ndio imara [emoji23][emoji23][emoji23].

Ni kichaa tu anayeamini kuwa [emoji196][emoji196]ni timu imara.
Lkn ndio iliyomkanda kolo 5G
 
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu

Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
MKUU WAO WATACHEZA AWATAHUSIKA NA MATOKEO YA LIGI AMA KWENDA POPOTE NIMESIKILIZA LEO NKAJUA USANII AWAWEZI KUJA WAKAWA WANAFANYA MECHI ZA KIRAFIKI MALAZI ANALIPA NANI
NAPITTU
 
1 Yohana 4:7, 8
Wapenzi, na mpendane; kwa kuwa pendo latoka kwa Mungu, na kila apendaye amezaliwa na Mungu, naye anamjua Mungu. Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo.
 
MKUU WAO WATACHEZA AWATAHUSIKA NA MATOKEO YA LIGI AMA KWENDA POPOTE NIMESIKILIZA LEO NKAJUA USANII AWAWEZI KUJA WAKAWA WANAFANYA MECHI ZA KIRAFIKI MALAZI ANALIPA NANI
NAPITTU
Duuuuh kumbe [emoji23][emoji23]
 
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu ....
But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa soka hapa jf... kuhusu hatima ya timu yangu ya SIMBA Kwa sababu naona haitokuja gusa zile top 3 since uimara wa Yanga ..... Azam...na Al hilal utaifanya Simba kuendelea kugombania top 4 na kina kmc ...coastal na ihefu

Nb: hii habari ya kuleta Al hilal....imekaza vibaya Kwa timu yangu ya Simba ...since huu utakuwa ni mwisho wa Simba kuwa top 3
Una Akili za kiyanga yanga .
 
Back
Top Bottom