Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club.
Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu wanaweza kurubuniwa kirahisi sana na upande wa pili.
Matatizo haya ya viongozi,nina uhakika yataendelea kwani iwapo walirubuniwa wampinge Mo ,ili timu apewe mdogo wake gsm,nani ajuaye jambo hili limekwisha?
Hapo hapo kuna wajinga wenye tamaa zao wanataka Simba ibaki mikononi mwao kwa vile tu ni wanasiasa wakidhani pesa wanazoiba zinaweza kuwafanya waimiliki club.
Matokeo yake sasa yamepafanya Simba pawe uwanja wa vita.Haya yote yamesababishwa na kutoelewana kwa viongozi na tabia ya mwekezaji aliyepo kususa kila anaposakamwa na baadhi ya viongozi.
Matatizo ya Simba sio kusajili pekee,maana unaweza kusajili lakini kwa vile upande wa pili wana mkono Simba, wachezaji wakafanyiwa ya kufanyiwa wakashindwa kucheza kwa kiwango chao.
Kumbukeni yanga ndio waliwapangia mcheze shirikisho na kweli mnacheza huko.Na sasa wanawapangia mtolewe mapema shirikisho na itakuwa hivyo kweli.
Hatuna viongozi kwa sasa tuwe tayari kupitia kila hali ya kunyanyasika.
Kama viongozi wangekuwa na akili,wangesajili vijana chipikizi wasio na majjna wanaojituma na kuachana na majina makubwa.