Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

Kosa la mangungo ni kuhujumu yale mazuri yanayofanywa na mo kwa maslahi ya Yanga .

Mangungo kumlazimisha kocha ampange Manula mechi ya darby huku Manula akiwa bado hawajawa fiti ilikuwa ni hujuma kwa mo na simba kwa ujumla. Hayo ndiyo makosa ya mangungo wa msovelo kama hujui
Kipi kinathibitisha kuwa ni Mangungu ndiye aliyelazimisha Manula apangwe?
 
Kosa la mangungo ni kuhujumu yale mazuri yanayofanywa na mo kwa maslahi ya Yanga .

Mangungo kumlazimisha kocha ampange Manula mechi ya darby huku Manula akiwa bado hawajawa fiti ilikuwa ni hujuma kwa mo na simba kwa ujumla. Hayo ndiyo makosa ya mangungo wa msovelo kama hujui
Taja hayo mazuri aliyoyafanya Mo halafu Mangungu akahujumu..
 
Kosa la mangungo ni kuhujumu yale mazuri yanayofanywa na mo kwa maslahi ya Yanga .

Mangungo kumlazimisha kocha ampange Manula mechi ya darby huku Manula akiwa bado hawajawa fiti ilikuwa ni hujuma kwa mo na simba kwa ujumla. Hayo ndiyo makosa ya mangungo wa msovelo kama hujui
Una uhakika gani kama Mangungu alitoa amri kua Manula acheze siku hio na pia katika zile goli 5 goli lipi ni la uzembe wa Manula?
 
Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club.

Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu wanaweza kurubuniwa kirahisi sana na upande wa pili.

Matatizo haya ya viongozi,nina uhakika yataendelea kwani iwapo walirubuniwa wampinge Mo ,ili timu apewe mdogo wake gsm,nani ajuaye jambo hili limekwisha?

Hapo hapo kuna wajinga wenye tamaa zao wanataka Simba ibaki mikononi mwao kwa vile tu ni wanasiasa wakidhani pesa wanazoiba zinaweza kuwafanya waimiliki club.
Matokeo yake sasa yamepafanya Simba pawe uwanja wa vita.Haya yote yamesababishwa na kutoelewana kwa viongozi na tabia ya mwekezaji aliyepo kususa kila anaposakamwa na baadhi ya viongozi.

Matatizo ya Simba sio kusajili pekee,maana unaweza kusajili lakini kwa vile upande wa pili wana mkono Simba, wachezaji wakafanyiwa ya kufanyiwa wakashindwa kucheza kwa kiwango chao.

Kumbukeni yanga ndio waliwapangia mcheze shirikisho na kweli mnacheza huko.Na sasa wanawapangia mtolewe mapema shirikisho na itakuwa hivyo kweli.
Hatuna viongozi kwa sasa tuwe tayari kupitia kila hali ya kunyanyasika.

Kama viongozi wangekuwa na akili,wangesajili vijana chipikizi wasio na majjna wanaojituma na kuachana na majina makubwa.
Huwa napata shida sana kuelewa mashabiki wa makolo aka mbumbumbu!mnasema YANGA hana hela ndo maana kafungiwa kusajili, bado tena YANGA anawalipa wachezaji wenu kuuza mechi, mara YANGA kawapangia mcheze shirikisho!yaani kila tatizo lenu mnawasingizia YANGA, sidhani kama ni sahihi sana!YANGA haezi kuingilia mambo ya MAKOLO maana ya kwake yenyewe yapo mengi!MAKOLO pale kuna shida nyingi ie usajili ulikua mmbovu, kulikua na utengano ktk management etc!so ni bora kutatua matatizo yenu kwa kuangalia chanzo kuliko kutafuta visingizio vya kipumbavu!
 
Una maana Mo ndiye alilazimisha Manula acheze licha ya kocha wake kukiri kuwa hakuwa fit kucheza mechi ile? Nyie furahieni usaliti wa Mangungu kwa vile ulikuwa na faida kwenu.
Mkuu usipoteze muda wako kuwajibu...
Yule babu yupo kimkakati sana ila akae akijua tumemjua na ndio yeye alipanga kikosi kazi kilichopokea goli 5
Pia mkuu hujiulizi kwanini utopolo baada ya kutufunga goli za mchongo wakakimbilia kutuwekea bango kubwaa!!!!! Sishabikii ugomvi ila Mangungu ajitafakali sana msaliti sik zote hastahili kuishi.
 
Una uhakika gani kama Mangungu alitoa amri kua Manula acheze siku hio na pia katika zile goli 5 goli lipi ni la uzembe wa Manula?
Mkuu achana na watu,watu wanajua usiwafanye watanzania hasa wanasimba kuwa ni wajinga tunajua wapo wanaoaza sauti but wapo wanadili nae papandekula tumechoka.
 
Yanga wanatetea ila wanawahoji maswali ya msingi na mnashindwa kujibu. Na kushindwa kujibu maanake hamuelewi kitu mnapelekeshwa tu maneno ya kuzuka. Mngekuwa mnaelewa kuhusu timu yenu mngekuwa mnauwezo hata wa kujibu maswali mnayoulizwa yahusuyo mfumo wa uendeshaji wa Simba.
Kuwa na pandikizi kwenye timu huhitaji liwe kwenye ngazi ya maamuzi.Likiweza kuwepo kuwepo hata kama halina maamuzi linaweza kuwa chanzo cha balaa.Mnachokiuliza yanga ni kutokana na kujitoa akili au akili hamnazo kabisa
 
Hao kina macha ndiyo wasaliti na ndiyo wanagombaniwa na viongozi. Nilikuwa siamini haya mambo ya kuhonga wachezaji mpaka jana nilipoona clip ya Juma Kaseja akikiri kuwa viongozi wa Yanga walikuwa wanamfuata kumhonga acheze afungishe ndipo nimeona hii derby ya Simba na Yanga ya kishenzi sana, takukuru walipaswa wawe washatoa tamko toka hiyo clip itoke maana jinai Haina ukomo wa muda
Kama ni ile clip aliyohojiwa na Ibra kasuga [Kipenga Extra] Hakusema ivyo alisema alivyoitwa kucheza Yanga Manji ndo alikua mtu wa kwanza kuongea nae alimwambia kuna watu wengi wamenilia hela zangu wakisema kuwa niwape hela wakuhonge tuifunge Simba ila cha ajabu matokeo yanakuja Vise versa !Kaseja anasema akashangaa Akamwambia kwamba hakuwahi kuhongwa hela yoyote".
 
Back
Top Bottom