Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

Haya maswali yako hayabadilishi ya kile ambacho Mangungu amekifanya Simba.
Maswali yangu yalikuwa nakupima una uelewa kiasi gani, nimekuona ni wale wale wanaomtuhumu Mangungu kwa maneno ya vijiweni na kusambaziana chuki dhidi yake kwani Mangungu na Mo ni yupi anaendesha Simba? Mangungu ni kivuli tu kila kitu kinaendeshwa na mwekezaji Mo. Kama hoja yako ya JK kuahidi ubunge basi mtuhumiwa awe Mo ambaye ndiye mwekezaji na sio Mangungu ambaye yupo yupo tu kama mwakilishi wa wanachama ila hana nguvu yeyote dhidi ya mwekezaji.
 
Nyumamwiko mumekuwa watetezi wakubwa wa Mangungu kwa jinsi alivyowafanyia kazi nzuri.
 
Hilo liko wazi kwani hatuna hao viongozi wa kushughulikia kiini cha tatizo kwani wao ndio tatizo.
Mangungu yupo kuisaidia yanga iweke historia na kuumaliza umaarufu wa Simba kimataifa.Yupo anatumika kimkakati na hivyo tutaendelea kuiona Simba ikipigwa 5,3,2 na hata goli 7 msimu huu.
Bado kuna shida kubwa kwenye uongozi,uwekezaji na kwa mashabiki wengi tumegawanyika wengine wanamwamini mangungu wengine wana mwamini mwekezaji
Hivi Mangungu kosa lake hua ni lipi? Kwanini timu ikifanya vizuri sifa zinaenda kwa Mo ikifanya vibaya lawama anabebeshwa Mangungu??
 
Na kwa nini ninyi yanga ndio mnamtetea mangungu sana?
Sie tunajua ni pandikizi la yanga na kazi yake anaifanya vizuri.
 
Nyumamwiko mumekuwa watetezi wakubwa wa Mangungu kwa jinsi alivyowafanyia kazi nzuri.
Hapo ndipo mnapoonesha hamna hoja za msingi kwa Mangungu tukiangalia uendeshaji wa timu. Timu anaendesha mwekezaji halafu lawama anapewa Mangungu ni wazi hata hamjui mzizi wa matatizo ya timu yenu. Mangungu hausiki na chochote kile iwe usajili au lolote kile
 
Hao kina macha ndiyo wasaliti na ndiyo wanagombaniwa na viongozi. Nilikuwa siamini haya mambo ya kuhonga wachezaji mpaka jana nilipoona clip ya Juma Kaseja akikiri kuwa viongozi wa Yanga walikuwa wanamfuata kumhonga acheze afungishe ndipo nimeona hii derby ya Simba na Yanga ya kishenzi sana, takukuru walipaswa wawe washatoa tamko toka hiyo clip itoke maana jinai Haina ukomo wa muda
Jinai Haina kimomo
 
Na kwa nini ninyi yanga ndio mnamtetea mangungu sana?
Sie tunajua ni pandikizi la yanga na kazi yake anaifanya vizuri.
Yanga wanatetea ila wanawahoji maswali ya msingi na mnashindwa kujibu. Na kushindwa kujibu maanake hamuelewi kitu mnapelekeshwa tu maneno ya kuzuka. Mngekuwa mnaelewa kuhusu timu yenu mngekuwa mnauwezo hata wa kujibu maswali mnayoulizwa yahusuyo mfumo wa uendeshaji wa Simba.
 
Mechi zote mbili wachezaji walihongwa?? Yaani mechi yakwanza mlisema hvyohvyo mpaka mkafukuza na kocha na kusimamisha baadhi ya wachezaji, kwaiyo na mechi ya pili ya 2-1 pia wachezaji walihongwa ili wacheze chini ya kiwango na wakati mlishajua toka mechi ya 1-5??!!

Huo ni uongo, hatukatai hayo mambo yapo ila Simba ni mbovu mnabidi kwanza mkubali then muanze upya na sio kila siku kumtafuta mchawi, mkiendelea hvyo safari ni goli 10!
Huoni mechi ya 1-2 ilichezwa angalau kwa uwazi japo Inonga alilipwa tena ili kuchomesha timu hadi akajivunja ili afanyiwe sub?
 
Ilichezwa kwa uwazi au wachezaji wa Yanga na kocha wao wali relax, tena ile ndio ingekuwa ni mbaya zaidi maana kipindi cha kwanza tu ubao ulikuwa 2-0
 
Na kwa nini ninyi yanga ndio mnamtetea mangungu sana?
Sie tunajua ni pandikizi la yanga na kazi yake anaifanya vizuri.
Mimi ni Simba lia lia ila sipendi maneno ya uongo
 
Hapo ndipo mnapoonesha hamna hoja za msingi kwa Mangungu tukiangalia uendeshaji wa timu. Timu anaendesha mwekezaji halafu lawama anapewa Mangungu ni wazi hata hamjui mzizi wa matatizo ya timu yenu. Mangungu hausiki na chochote kile iwe usajili au lolote kile
Una maana Mo ndiye alilazimisha Manula acheze licha ya kocha wake kukiri kuwa hakuwa fit kucheza mechi ile? Nyie furahieni usaliti wa Mangungu kwa vile ulikuwa na faida kwenu.
 
Goli lipi kati ya zile tano ambalo ni uzembe wa Manula?
 
Una maana Mo ndiye alilazimisha Manula acheze licha ya kocha wake kukiri kuwa hakuwa fit kucheza mechi ile? Nyie furahieni usaliti wa Mangungu kwa vile ulikuwa na faida kwenu.
Kwahiyo unataka kusema siku hizi kikosi kinapangwa na Mangungu? Ushahidi ni upi kuwa Mangungu ndiye aliyelazimisha Manula acheze?
 
Sina muda wa hii interrogation yako,na huwezi kufuta ukweli ninaofahamu. Amini unachoamini na mimi nasimama na ukweli nilio nao. Case closed.
 
Ukweli lazima usemwe. Wachezaji wengi walilipwa kucheza chini ya kiwango na ndio sababu,hao waliowalipa, wanawataka kwa udi na uvumba.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu tu na kuachana na wachezaji wote waliokosa kuipigania club.

Tatizo letu kubwa ni uongozi.Hatujui ni kwa nini wachezaji wetu wanaweza kurubuniwa kirahisi sana na upande wa pili.

Matatizo haya ya viongozi,nina uhakika yataendelea kwani iwapo walirubuniwa wampinge Mo ,ili timu apewe mdogo wake gsm,nani ajuaye jambo hili limekwisha?

Hapo hapo kuna wajinga wenye tamaa zao wanataka Simba ibaki mikononi mwao kwa vile tu ni wanasiasa wakidhani pesa wanazoiba zinaweza kuwafanya waimiliki club.
Matokeo yake sasa yamepafanya Simba pawe uwanja wa vita.Haya yote yamesababishwa na kutoelewana kwa viongozi na tabia ya mwekezaji aliyepo kususa kila anaposakamwa na baadhi ya viongozi.

Matatizo ya Simba sio kusajili pekee,maana unaweza kusajili lakini kwa vile upande wa pili wana mkono Simba, wachezaji wakafanyiwa ya kufanyiwa wakashindwa kucheza kwa kiwango chao.

Kumbukeni yanga ndio waliwapangia mcheze shirikisho na kweli mnacheza huko.Na sasa wanawapangia mtolewe mapema shirikisho na itakuwa hivyo kweli.
Hatuna viongozi kwa sasa tuwe tayari kupitia kila hali ya kunyanyasika.

Kama viongozi wangekuwa na akili,wangesajili vijana chipikizi wasio na majjna wanaojituma na kuachana na majina makubwa.
Kama huna wakili acha kuropoka!
 
Hao kina macha ndiyo wasaliti na ndiyo wanagombaniwa na viongozi. Nilikuwa siamini haya mambo ya kuhonga wachezaji mpaka jana nilipoona clip ya Juma Kaseja akikiri kuwa viongozi wa Yanga walikuwa wanamfuata kumhonga acheze afungishe ndipo nimeona hii derby ya Simba na Yanga ya kishenzi sana, takukuru walipaswa wawe washatoa tamko toka hiyo clip itoke maana jinai Haina ukomo wa muda
Kama ile ya Kabwili kuahidiwa vits, TFF wakaahidi kulifikisha TAkukuru lakini mpaka leo kimya.
 
Ilichezwa kwa uwazi au wachezaji wa Yanga na kocha wao wali relax, tena ile ndio ingekuwa ni mbaya zaidi maana kipindi cha kwanza tu ubao ulikuwa 2-0
Kwanini walicheza kwa ku relax? Kwamba kipindi cha kwanza kufungwa 2 inaashiria kipindi cha pili kufungwa zaidi?

Hujawahi kuona timu inafungwa kipindi cha kwanza 3 kwasababu timu haijawa na utulivu lakini kipindi cha pili timu ikarudi na muunganiko mzuri na isiruhusu tena goli?
 
Walikuwa wame relax kwasababu mpaka Yanga inakutana na Simba walikuwa na mtaji wa point nyingi, hivyo ni Simba ndio waliokuwa na tension kubwa ya kulipa kisasi na pia walihitaji wapunguze gap. Ukiangalia uso wa kocha wa Yanga alikuwa ametulia kwenye benchi huku akiwa comfortable uwanjani ni kama mtu asiye na shauku kubwa kwenye mechi. Tofauti na Benchikha ambae alikuwa muda wote anaelekeza wachezaji kila wakati iwe kushambulia au kukaba mpaka anaonekana kupaniki
 
Hivi Mangungu kosa lake hua ni lipi? Kwanini timu ikifanya vizuri sifa zinaenda kwa Mo ikifanya vibaya lawama anabebeshwa Mangungu??
Kosa la mangungo ni kuhujumu yale mazuri yanayofanywa na mo kwa maslahi ya Yanga .

Mangungo kumlazimisha kocha ampange Manula mechi ya darby huku Manula akiwa bado hawajawa fiti ilikuwa ni hujuma kwa mo na simba kwa ujumla. Hayo ndiyo makosa ya mangungo wa msovelo kama hujui
 
Back
Top Bottom