Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

Kuna mtu kakataa kuwa uto wametuzidi uongozi ndio maana wana timu thabiti?
Pamoja na hayo yote unadhani wanaingiza timu mbele ya Simba kizembe kizembe kama akili za wajinga zinavyodhani?
Unadhani kwa nini wanamtaka Chama na walimwita mzee akicheza chini ya kiwango?Unahisi wao ni wapumbavu ama nani kati yenu?
 
Hizo habari sikuzitilia maanani kwa sababu najua siasa za Simba na yanga pia hata waandishi wetu wengi hawana uweledi huwa wanatengeneza matukio.
Jiulize Kama hao wachezaji wasimamishwe ilikuwaje wawepo mazoezini.
 
Simba walitakiwa washugulike na huyo anayehonga wachezaji badala ya kushugulika na wachezaji , Kama tuhuma hizo ni za kweli.
Kama utashugulika na wachezaji badala ya mhusika Basi wachezaji wenu wataendelea kuhongwa.
Hilo liko wazi kwani hatuna hao viongozi wa kushughulikia kiini cha tatizo kwani wao ndio tatizo.
Mangungu yupo kuisaidia yanga iweke historia na kuumaliza umaarufu wa Simba kimataifa.Yupo anatumika kimkakati na hivyo tutaendelea kuiona Simba ikipigwa 5,3,2 na hata goli 7 msimu huu.
Bado kuna shida kubwa kwenye uongozi,uwekezaji na kwa mashabiki wengi tumegawanyika wengine wanamwamini mangungu wengine wana mwamini mwekezaji
 
Timu ilikuwa inahitaji maboresho, acheni fikra za rushwa, angalia mechi na power dynamo, tulivyoshikwa Dar, bila juhudi binafs za CHAMA, tusingeingia makundi, ushindi wetu umekuwa wa bahatbahat tu, hao vijana mnaowataka Bado UWEZO ni mdogo, uzoefu hawana, kiundwe kikosi mseto, na ufanyike usajiri Bora.
 
Msipokubali kuwa mna timu mbovu hamtotoka hapo .....
 
Kwa hiyo Inonga hana ubora.Chama hana ubora!
Huyo Inonga asiye na ubora Simba anakuwa na ubora timu ya Taifa.Huyo Chama asiye na ubora anasajiliwa na Yanga iliyotuzidi ubora kila idara.
Kuna vitu vinafikirisha lakini hongereni kwa kufanikiwa kuwa na pandikizi pale Simba na mtatumaliza maana sisi mashabiki hatuna akili pia
 
Kama Bado una fikra za namna hii Yanga watatawala mpira daima mbele nyuma mwiko.
 
Kama Bado una fikra za namna hii Yanga watatawala mpira daima mbele nyuma mwiko.
Ata wakati Yanga inatembeza bakuli Bado walifanikiwa kuifunga Simba, Ina maana Yanga alikua ana honga?

Simba ni mbovu na waki endelea na propaganda za ki puuzi wataendelea ku nyooshwa mpaka watakapo jitambua.
 
Hii kitu ipo muda mrefu sana, ni vile tu mamlaka zinqqngalia tu, hii kitu inaharibu mpira
 
Ili simba iwe imara lazima haya yafuatayo yafanyike.

1.Uongozi uliopo hasa upande wa wanachama ukubali kuachia ngazi. Maana sioni kama kitafanyika kitu cha Maana kama viongozi wa pande hizi mbili (mwekezaji na wanachama) hawaelewani.kitakachofuata ni kusalitiana.

Haiingii akilini kocha kumpanga Manula kudaka mechi ya darby huku akitoka majeruhi kama siyo shinikizo la viongozi wasaliti ndani ya klabu.mtokeo 1,5

Darby ya pili Inonga bila hata kuguswa dk ya 15 tu akajivunja na akatolewa nje lakini siku tatu baadae et keshapona na anashinikiza apangwe kwenye mechi zilizofuata(Usaliti wa wazi huo) . Mechi ilishauzwa hiyo.

2.Wachezaji maswahiba wa Hers na Manara ndani ya simba waondolewe mara Moja.(Wanajulikana) Maana ndio wanaotumika kama maduka ya upande wa pili.Wanatumika pia kuwarubuni hata wachezaji wengine kuuza mechi.

3. Udhamini wa GSM kudhamini vilabu zaidi ya kimoja kwenye ligi Moja upigiwe kelele na kila mwanamichezo mpenda michezo. Ligi inaanza tayari Yanga ana uhakika wa pointi karibia 30.(TFF Kazi kwenu)

4.Mwekezaji Mo na wanachama sajilini wachezaji wa ki mkakati .Toa mzigo wa Maana (pesa).Acheni kukimbilia free agent . Vunjeni mikataba ya wachezaji Wanaojulikana toka kwenye vilabu vinavyojulikana na ligi zinazojulikana. Siyo unaenda kuvunja mkataba wa mchezaji toka timu ya ligi ya somalia.
 
Timu bora iliyokamilika ni mkusanyiko wa wachezaji zaidi ya 9 wenye ubora na uwezo. Huwezi kuwa na wachezaji 4 au watano pekee wenye ubora halafu ukasema mna timu bora. Ukitaka kujua Yanga ilikuwa imekamilika kwa ubora ingia kwenye takwimu. Utaona kwenye magoli mengi ya kufunga wapo, kwenye kuruhusu magoli machache wapo. Kwenye wafungaji wenye magoli mengi unakuta wana list ya kutosha kuna Aziz Ki, Max, na Mudathir. Kwenye ulinzi kuna mabeki waliokamilika yaani kuna beki hajawahi pata hata kadi ya njano msimu mzima.
Sasa je timu ya Simba ilikuwa na wachezaji wangapi wenye viwango wangapi kulinganisha na waliopo Yanga?
 
Na tutawapangia mshuke saraja msinu ujao...kila kitu mnasingizia Yanga
 
Kama haya uliyoyaandika ni kweli sasa kwa nini usihamie Yanga ili upate furaha?
 
Mangungu ni wakati uondoke Simba kazi uliyopewa na JK umeikamilisha vizuri sana sasa ni wakati wa JK naye kutimiza sehemu yake ya makubaliano yenu ya kukupatia Ubunge 2025, na ingependeza sana ukasubiria ahadi yako ukiwa nje ya uongozi wa Simba kwani watu wote wameshajua mchezo mzima hivyo kuna siku watakuafanyia kitu mbaya hata wakati wa huo ubunge usiwepo tena duniani au ukawa uko kwenye wheel chair mkononi ukiwa na kikopo cha kukingia mimate inayokutoka bila ya udhibiti wa mdomo kwani nao mdomo utakuwa umemwagika. Huwezi ukawaudhi watu zaidi milioni 20 na ukabaki salama.
 
Mangungu alishawahi kuwa mbunge Kilwa.
 
Mangungu alishawahi kuwa mbunge Kilwa.
Nafahamu. 2020 alitaka kugombea tena kura za maoni akapita lakini Magu akamkataa. JK alimuahidi kuwa this time atampigania lakini amfanyie kazi yake ndani ya Simba na Mangungu ametimiza sehemu yake ya makubaliano bado JK naye akanilishe agano lao.
 
Nafahamu. 2020 alitaka kugombea tena kura za maoni akapita lakini Magu akamkataa. JK alimuahidi kuwa this time atampigania lakini amfanyie kazi yake ndani ya Simba na Mangungu ametimiza sehemu yake ya makubaliano bado JK naye akanilishe agano lao.
Kwani Mangungu kateuliwa au kachaguliwa na wanachama wa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…