Simba hakuna sababu ya kung'ang'ania wachezaji waliosaliti timu

Kipi kinathibitisha kuwa ni Mangungu ndiye aliyelazimisha Manula apangwe?
 
Taja hayo mazuri aliyoyafanya Mo halafu Mangungu akahujumu..
 
Una uhakika gani kama Mangungu alitoa amri kua Manula acheze siku hio na pia katika zile goli 5 goli lipi ni la uzembe wa Manula?
 
Huwa napata shida sana kuelewa mashabiki wa makolo aka mbumbumbu!mnasema YANGA hana hela ndo maana kafungiwa kusajili, bado tena YANGA anawalipa wachezaji wenu kuuza mechi, mara YANGA kawapangia mcheze shirikisho!yaani kila tatizo lenu mnawasingizia YANGA, sidhani kama ni sahihi sana!YANGA haezi kuingilia mambo ya MAKOLO maana ya kwake yenyewe yapo mengi!MAKOLO pale kuna shida nyingi ie usajili ulikua mmbovu, kulikua na utengano ktk management etc!so ni bora kutatua matatizo yenu kwa kuangalia chanzo kuliko kutafuta visingizio vya kipumbavu!
 
Una maana Mo ndiye alilazimisha Manula acheze licha ya kocha wake kukiri kuwa hakuwa fit kucheza mechi ile? Nyie furahieni usaliti wa Mangungu kwa vile ulikuwa na faida kwenu.
Mkuu usipoteze muda wako kuwajibu...
Yule babu yupo kimkakati sana ila akae akijua tumemjua na ndio yeye alipanga kikosi kazi kilichopokea goli 5
Pia mkuu hujiulizi kwanini utopolo baada ya kutufunga goli za mchongo wakakimbilia kutuwekea bango kubwaa!!!!! Sishabikii ugomvi ila Mangungu ajitafakali sana msaliti sik zote hastahili kuishi.
 
Una uhakika gani kama Mangungu alitoa amri kua Manula acheze siku hio na pia katika zile goli 5 goli lipi ni la uzembe wa Manula?
Mkuu achana na watu,watu wanajua usiwafanye watanzania hasa wanasimba kuwa ni wajinga tunajua wapo wanaoaza sauti but wapo wanadili nae papandekula tumechoka.
 
Kuwa na pandikizi kwenye timu huhitaji liwe kwenye ngazi ya maamuzi.Likiweza kuwepo kuwepo hata kama halina maamuzi linaweza kuwa chanzo cha balaa.Mnachokiuliza yanga ni kutokana na kujitoa akili au akili hamnazo kabisa
 
Kama ni ile clip aliyohojiwa na Ibra kasuga [Kipenga Extra] Hakusema ivyo alisema alivyoitwa kucheza Yanga Manji ndo alikua mtu wa kwanza kuongea nae alimwambia kuna watu wengi wamenilia hela zangu wakisema kuwa niwape hela wakuhonge tuifunge Simba ila cha ajabu matokeo yanakuja Vise versa !Kaseja anasema akashangaa Akamwambia kwamba hakuwahi kuhongwa hela yoyote".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…