AaahhhaaaahaaaSIMBA wao ya kwao robo fainali tumeshakubaliana
Nani alikwambia kua watu wa vijijini hua hawashangilii Mpira ?Wakati Simba wanaingia fainali ulikuwa kijijini kwenu hata mpira hujaanza kushangilia
Sahihi Mkuu.......Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Hili jambo mnalishadadia kwasababu hamuelewi tunachomaanisha mashabiki wenye akili timamu wa Yanga hadi pale siku mtakapofika fainali(sijui itakuwa baada ya miaka mingapi) ila ni kwamba kwasasa hamuwezi elewa hadi mkutwe!
Ni hayo tu.
Kilichopelekaa hoja ya Neutral ground ni nini?Wewe ni zezeta,kuna mtu ameongelea goli la Ugenini hapo?
Kwahiyo hapo niliongelea Goli la Ugenini?Kilichopelekaa hoja ya Neutral ground ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa utopolo wakati mnapokea waarabu mnawashangilia mlijua watu wema sana eeh? Wakati tulipowaambia hamjakutana bado naxwaarabu mlikuwa hamjalijua hilo eeh? Ba hao usma sio giants kiviile subiri day mcheze na wale magiants ndio mtajua kuesabu kiarabu dadeki.
Umevuta shisha?,Aliyekwambia nazungumzia goli la ugenini nani?Mwenzako kakugonga 2 kwako,wewe umemgonga moja,halafu,unataka usawa,usawa upi wakati umetobolewa, nyingi kwako?
Halafuuuu,nyutro ground haihusiani na goli la ugenini,uwage na akili kidogo