Simba hamtaelewa kwanini tunalilia Neutral Grounds kwenye fainali mpaka mtakapofika fainali

Simba hamtaelewa kwanini tunalilia Neutral Grounds kwenye fainali mpaka mtakapofika fainali

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Hili jambo mnalishadadia kwasababu hamuelewi tunachomaanisha mashabiki wenye akili timamu wa Yanga hadi pale siku mtakapofika fainali(sijui itakuwa baada ya miaka mingapi) ila ni kwamba kwasasa hamuwezi elewa hadi mkutwe!

Ni hayo tu.
 
Sidhani kama hawa mikia watakuelewa
 
Hahaaa utopolo wakati mnapokea waarabu mnawashangilia mlijua watu wema sana eeh? Wakati tulipowaambia hamjakutana bado na waarabu mlikuwa hamjalijua hilo eeh? Basi hao usma sio giants kiviile subiri day mcheze na wale magiants ndio mtajua kuesabu kiarabu dadeki.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Hili jambo mnalishadadia kwasababu hamuelewi tunachomaanisha mashabiki wenye akili timamu wa Yanga hadi pale siku mtakapofika fainali(sijui itakuwa baada ya miaka mingapi) ila ni kwamba kwasasa hamuwezi elewa hadi mkutwe!

Ni hayo tu.
Sahihi Mkuu.......

Wakikua wataellewa kuwa final is not for everyone [emoji23][emoji23]
 
Taka taka hii..kwani huo mfumo wa goli la ugenini umeanza msimu huu..kwanini msililie kabla
Wewe ni zezeta,kuna mtu ameongelea goli la Ugenini hapo?
 
Kilichopelekaa hoja ya Neutral ground ni nini?
Kwahiyo hapo niliongelea Goli la Ugenini?

Mimi sijazungumzia kanuni za CAF ila nimezungumzia Neautral Grounds kwa maana ya kwamba mazingira yawe fair katika uchezaji wa mpira,wewe ukiangalia juzi kulikuwa na mechi au upuuzi?

Kanuni hata zikibaki hivyo hivyo lakini nahitaji kuwena Neutral Grounds,Leo nyie mnafurahia Yanga kufanyiwa vurugu na fujo ila ipo siku na nyie mkiingia fainali ndipo mtakapoelewa nachomaanisha!
 
Ili kuondoa lawama za neutral ground si ndo mana kuna home and away,sasa mnalia nini???kwenu mmewekwa kwao mmeshinda haya lawama za nini?
 
Mwenzako kakugonga 2 kwako,wewe umemgonga moja,halafu,unataka usawa,usawa upi wakati umetobolewa, nyingi kwako?

Halafuuuu,nyutro ground haihusiani na goli la ugenini,uwage na akili kidogo
 
Hahaaa utopolo wakati mnapokea waarabu mnawashangilia mlijua watu wema sana eeh? Wakati tulipowaambia hamjakutana bado naxwaarabu mlikuwa hamjalijua hilo eeh? Ba hao usma sio giants kiviile subiri day mcheze na wale magiants ndio mtajua kuesabu kiarabu dadeki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenzako kakugonga 2 kwako,wewe umemgonga moja,halafu,unataka usawa,usawa upi wakati umetobolewa, nyingi kwako?

Halafuuuu,nyutro ground haihusiani na goli la ugenini,uwage na akili kidogo
Umevuta shisha?,Aliyekwambia nazungumzia goli la ugenini nani?

Wewe ni mtu ambaye familia yako inategemea ya kwamba wana mtu yupo mjini?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom