THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
Unajiita siku hizi tena John wakat we KE ama kweli walikufanya vibaya hadi unataman kua MENi mimi yuleyule john tall niliyekuwa nakaa back bench....mwalimu maria ulikuwa na tako laini sana
We kiri tu kuwa nlikushika kalio darasani mwalimu mariaUnajiita siku hizi tena John wakat we KE ama kweli walikufanya vibaya hadi unataman kua ME
Lazima mjifunze kufuzu hatua ya robo fainali huku mkiwa na mchezo mmoja mkononi! Siyo kila mwaka mnakuja tu na makauli mbiu yasiyo eleweka! Mara do or die, sijui mwaka wa kisasi!!Hatuna cha kujifunza msitulazimishe...
Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports.
Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na kujihakikishia kusonga hatua inayofuata.
Baada ya Ushindi ule tumeshuhudia Utani Mwingi sana sehemu mbalimbali kuanzia utani wa face to face mitaaani hadi katika Mitandao ya Kijamii, Twitter(x), Instagram, Facebook hata hapa Nyumbani JAMIIFORUMS jukwaa la Sports.
Ila sasa kitu ambacho kimenifanya niibuke hapa nakuandika ni kitu cha kushangaza kutoka kwa Mashabiki na baadhi ya watu wenye hadhi ndani ya simba kuonekana wakijibu jibu hili swala la Ushindi wa Yanga hadi kufikia hatua ya kusema hawana kitu cha kujifunza kutoka kwa Yanga Mara Yanga kushinda kumechachizwa na MO.
Ujue kuna kitu kimoja Simba hua nawasema siku zote Mnajifanya Wajuaji kwenye Kila Jambo ndio utofauti wenu na mashabiki wa Yanga au hata Viongozi wa Yanga, Nyie hamkubali hata kidogo kua kwa sasa hampo vizuri.
Tuseme kukubali ni mbaya ila mngejifunza hata kunyamaza tu maana mkinyamaza hakuna mtu atawafunga, why nasema Mnyamaze kwa sababu Ukiwa Unajibu na kuonyesha kua na wewe ushawahi fanya hivi,Mara na wewe utafuzu, Mara wewe ndio club ipo juu kwa Ranks hayo mambo yatakupumbaza sana...
Chukulia kwa Yanga mara nyingi hua tunapenda kusema mashabiki wa Yanga wamepoa ila kuna Faida yake ukimuona mtu kanyamaza kapoa yule jua anajipanga vizur so hana mda wakukujibu wewe ila utakuja kushitukia tu BOOM kama sasa hivi.
Kipindi Simba mnatamba Yanga hawakua na Mda wa kuwajibu,Mlibeba Ubingwa mar 4 mfululizo hamkuwahi sikia wakisema makombe yao waliyo nayo,Hamukuwai ona wanasema washacheza pale Egypt game moja ya Moto na Ahly ila bahat haikua kwao ilikua kidogo wamtoe hamkuwahi sikia hayo wakijivunia nayo..
Do you know WHY?
Maana walijua yaliyopita yashapita wanataka ya sasa, na wao kwa mda ule hawakua vizur so walitakiwa wajipange na wakiwa vizur ndio wataanza kujibu.
Ndio tunaona sasa hivi wapo vizuri wanafanya kila kitu wanafurahii wanawatania ila nyie mnajibu eti hatuwez jifunza kutoka kwa Yanga inachekesha sana.
Hamlazimishwi ila endeleezen hizo mbwembwe mtakuja kushituka Yanga anaubingwa mara 10 Mfululizo wa Ligi na ashabeba Caf Champions League Mara Moja au zaidi.
Pole Akili uliziacha Tumbon kwa Mama akoSasa mkuu em tuambie simba ijifunze nini kwa yanga???
Nyinyi kujifunza ilikuwa lazima..... maana ndo tumewafikisha apo mlipo sasa” haya niambie simba haipo vizuri wapi? Maana kwemye ligi yetu hata wewe ukae kimya lolote linakukita...... club bingwa imefuzu nani kakwambia simba haifuzu? Acha mbea fatilia mambo ya team yako
Jamaaa anahisi kila kitu ni MbwembweHamida Ally mwambieni ajifunze kuongea apunguze Jazba aliongea anagongagonga Meza kwamba Yanga hivi Yanga vile
Al Ahly anagongwa na Yanga baada ya hapo tunamtaka Mamelodi sio Petro Atletico de Luanda wala Wydad Casablanca tunamtaka Mamelodi tumgonge na yeye ili tuwafumbe midomo vizuri
Mwasibu OKW BOBAN SUNZU usisahau kupita huku
Tafuta rekodi...Lazima mjifunze kufuzu hatua ya robo fainali huku mkiwa na mchezo mmoja mkononi! Siyo kila mwaka mnakuja tu na makauli mbiu yasiyo eleweka! Mara do or die, sijui mwaka wa kisasi!!
Jifunzeni kwa kaka yenu Yanga! Ijumaa anachez na Bingwa mwenzake Al Ahly, huku wote wakiwa wameshafuzu.
Haya twambie mara ya mwisho kwenda robo fainali lini?Ahaha nilipojizoesha kutoishi kwa historia nilipata aman sana. Simba achen mambo ya kuishi kwa historia
Kwamba kwenda robo mnahisi mshachukua kombe??haviendagi hvyo utopolo lazima upitie nusu fainali na fainali ndo uchukue kombe.Wazoefu wa cafcl tunawafundisha utaratibu wa huku kwa wakubwa.Mi ni yanga ila kusema Yanga huwa ni wakimya napinga[emoji23][emoji23][emoji23]Simba na Yanga mashabiki wao wote ni waruwaru na ndio Raha ya mpira
NB nawaona Simba wakitupa standing ovation tunapopita na kombe la caf pale msimbazi
Kama ndio wazoef Mlishapita hizo hatua tofauti na kua kila msimu ni Robo Nyama.Kwamba kwenda robo mnahisi mshachukua kombe??haviendagi hvyo utopolo lazima upitie nusu fainali na fainali ndo uchukue kombe.Wazoefu wa cafcl tunawafundisha utaratibu wa huku kwa wakubwa.
Nako Mjifunze..Labda tujifunze kuzimia baada ya kuingia robo fainali
Ahahaha..mbona hilo liko waz chief na hatuna tatizo nalo kabisaa!!Haya twambie mara ya mwisho kwenda robo fainali lini?
Mnasema Nini Huku Team Yako Bado Ungaunga Unamtegemea Saidoo Kufanya Maajabu.
Hatuna cha kujifunza msitulazimishe...
Haituhusu..Young Africans Road To Final Hiyo, Nyie Endeleeni Kubwabwaja.