technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.
Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.