Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Afrika

Yanga ya msimu uliopita na huu, ikikutana na timu yoyote ile kwenye mashindano yoyote yale, inapiga tu zile ngumi za upper cult halafu mpinzani chali

Don't forget that Yanga is unbeaten!!
Kwani hiyo uto ya msimu uliopita si iligaragazwa mno na rivers united nje ndani?
 
Kwani hiyo uto ya msimu uliopita si iligaragazwa mno na rivers united nje ndani?
Halafu Rivers yenyewe eti ndiyo ilikuwa ya akina Nelson Okwah!! Mchezaji wa kawaida kabisa!! Yaani hayupo hata kwenye kikosi cha timu yetu ya simba!

Hivi hao Rivers wakikutana na hii Yanga ya sasa, Yanga ya akina Mayele! si wanaweza hata kugomea mechi!!
 
Kwa kile mwarabu anaenda kuwafanya Jumamosi hizi tambo zenu hazitasikika tena
 
Atletico Sport Aviacao alikufa 3-1 hapa Bongo mwaka huo ulikuwa bado sperm kwa mshua wako
 
Hiyo sio kiufundi, ni kijiografia na kihistoria. Maana kiufundi huwezi ukazigroup timu kwa jiografia zao. Soka ni sayansi na sanaa. Timu ya Afrika Mashariki haijafungwa kucheza kiafrika Mashariki tu (kama kipo), au ya Afrika Magharibi haijafungwa kucheza kiafrika Magharibi tu (kama kipo pia). Timu ya pande fulani inaweza ikacheza sawa na ya pande nyingine na inaweza ikatofautiana na ya pande zake. Kwa maana hiyo huwezi ukaconclude kwamba ukanda fulani una soka fulani inalolishinda timu fulani
uko bwee sana papaa baelesee baelewe.
 
Nyie wapuuzi ndio mnajiita wachambuzi kwa staili hii

Eti hawako physical
Sasa sikia hii wew ndege hakuna sehemu yoyote duniani watu automatically wanakua physical au technical ni philosophy za mwalimu ndo zinadetermine na wachezaji waliopo muda huo

Hispania enyewe ligi inasifika kwa kua technical ina timu zinacheza kwa kutumia nguvu kama athletic bilbao

😠😠
 
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.

Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki

Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.

Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.

Kwani timu za Zambia na Malawi ambazo huwa anazitoa siyo za Kusini?
 
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.

Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki

Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.

Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.
Sawa mchambuzi wetu hodari
 
Back
Top Bottom