technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Alitolewa kwenye nini?Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini...
Ana uzoefu na kina IHEFU na Kagera SugarIla Yanga yeye anauzoefu na timu zipi? Mkuu..
Yanga ya msimu uliopita na huu, ikikutana na timu yoyote ile kwenye mashindano yoyote yale, inapiga tu zile ngumi za upper cult halafu mpinzani chaliIla Yanga yeye anauzoefu na timu zipi? Mkuu..
Anaweza waarabu kwa kuwafunga goli moja kwa mkapa!?Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pilate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.
Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.
Huko msumbiji ndo anakotoa uchawi,ndiyo maana nampula,libolo,ud songo wote walimtoaAlitolewa kwenye nini?
Hiyo sio kiufundi, ni kijiografia na kihistoria. Maana kiufundi huwezi ukazigroup timu kwa jiografia zao. Soka ni sayansi na sanaa. Timu ya Afrika Mashariki haijafungwa kucheza kiafrika Mashariki tu (kama kipo), au ya Afrika Magharibi haijafungwa kucheza kiafrika Magharibi tu (kama kipo pia). Timu ya pande fulani inaweza ikacheza sawa na ya pande nyingine na inaweza ikatofautiana na ya pande zake. Kwa maana hiyo huwezi ukaconclude kwamba ukanda fulani una soka fulani inalolishinda timu fulaniSimba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Kwa hiyo unategemea kuna timu ambayo isipokuwa makini bado haitatolewa?Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pilate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.
Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.
Reserved comment...Yanga ya msimu uliopita na huu, ikikutana na timu yoyote ile kwenye mashindano yoyote yale, inapiga tu zile ngumi za upper cult halafu mpinzani chali
Don't forget that Yanga is unbeaten!!
Unbeaten ya nini si mlitatatuliwa marinda na Rivers na VipersYanga ya msimu uliopita na huu, ikikutana na timu yoyote ile kwenye mashindano yoyote yale, inapiga tu zile ngumi za upper cult halafu mpinzani chali
Don't forget that Yanga is unbeaten!!
Na wewe ulitolewa na nani?Huko msumbiji ndo anakotoa uchawi,ndiyo maana nampula,libolo,ud songo wote walimtoa
Umeongea point sanaa mkuu hongeraHiyo sio kiufundi, ni kijiografia na kihistoria. Maana kiufundi huwezi ukazigroup timu kwa jiografia zao. Soka ni sayansi na sanaa. Timu ya Afrika Mashariki haijafungwa kucheza kiafrika Mashariki tu (kama kipo), au ya Afrika Magharibi haijafungwa kucheza kiafrika Magharibi tu (kama kipo pia). Timu ya pande fulani inaweza ikacheza sawa na ya pande nyingine na inaweza ikatofautiana na ya pande zake. Kwa maana hiyo huwezi ukaconclude kwamba ukanda fulani una soka fulani inalolishinda timu fulani
Ee huu nao ni uzi daaaSimba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pilate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.
Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.
Kwahiyo tukusaidiejeSimba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pilate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.
Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.
Mm Ni uto ila Simba anapita na cc yanga Africans tutabaki hapahapa roho yangu inauma San siamini Kama yanga atatoboa paleSimba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pilate na Kaizer Chief zote za South Africa. Kwaaiyo awe makini anapoenda Angola.
Simba anawaweza sana Warabu kuliko hizi timu zenye wachezaji wenye "physical" ya kutosha. Kiufundi Simba atatolewa asipokuwa makini hasa kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza akiruhusu bao nyingi.
Sijatolewa Mara nne na timu za nchi mojaNa wewe ulitolewa na nani?
Na sisi tuliwatatua nyieUnbeaten ya nini si mlitatatuliwa marinda na Rivers na Vipers