Tajiri karudi, hatuna njaa ya hivyo vimilioniKioichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama
Hii lwao ilikuwa kama mateso makubwa ba kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji
Msipojirekebisha myaaibika kwa mkapa mazimaaaa
Tykutanee
Amaan stadium
Magoli 6 ni milioni 30, hela ya usajili wa Kagoma kwa mkataba wa miaka mitatu! 🤣 🤣 🤣Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama
Si uache kuangalia, au unaangalia matangazo ya biashara? 🤣🤣🤣Ukweli usemwe japo ni mchungu Simba hakuna mpira
Jana hata sikupoteza muda wa kuangalia mpira,. Nikasikia matokeoSi uache kuangalia, au unaangalia matangazo ya biashara? 🤣🤣🤣
Ukweli usemwe japo ni mchungu Simba hakuna mpira
Kwa hiyo haujaangalia mechi ila unasema Simba hakuna mpira? Kweli wenye akili ni wawili! 🤣 🤣 🤣Jana hata sikupoteza muda wa kuangalia mpira,. Nikasikia matokeo
Sawa ushauri wako mzuriKilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama
Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji
Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa
Tykutanee
Amaan stadium
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Magoli 6 ni milioni 30, hela ya usajili wa Kagoma kwa mkataba wa miaka mitatu! 🤣 🤣 🤣
Utopolo bwana!