Simba hata mil 5 ya mama mmeikosa aibu sana

Simba hata mil 5 ya mama mmeikosa aibu sana

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama

Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji

Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa

Tykutanee

Amaan stadium
 
Kioichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama

Hii lwao ilikuwa kama mateso makubwa ba kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji

Msipojirekebisha myaaibika kwa mkapa mazimaaaa

Tykutanee

Amaan stadium
Tajiri karudi, hatuna njaa ya hivyo vimilioni
 
Wakati jwaneng galax wanaitungua sita walijisifu kukomba mamilioni ya mama lakini leo wanajificha kwenye kichaka cha kusema 5millions ni ndogo sana
 
Ukweli usemwe japo ni mchungu Simba hakuna mpira
Jana hata sikupoteza muda wa kuangalia mpira,. Nikasikia matokeo
Kwa hiyo haujaangalia mechi ila unasema Simba hakuna mpira? Kweli wenye akili ni wawili! 🤣 🤣 🤣

1726479175002.png
 
Mama yenu angeisaidia zaidi Simba kwa kuwapa ndege ya kufika Libya moja kwa moja kuliko huko tumilioni ambazo unaweza kusema kabisa ni ufujaji na matumizi mabaya ya mali za umma
 
Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama

Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji

Msipojirekebisha mtaaibika kwa mkapa mazimaaaa

Tykutanee

Amaan stadium
Sawa ushauri wako mzuri
 
Magoli 6 ni milioni 30, hela ya usajili wa Kagoma kwa mkataba wa miaka mitatu! 🤣 🤣 🤣
Utopolo bwana!
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Miso Misonda SC.
22. Kufa Kiume SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Back
Top Bottom