SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kelele zenu hazisaidii,tarehe 3 July njoni mkeketwe, na Kigoma pia mnaenda chezea kipondo na kwenye ngao ya hisani tunawabokoa, yaani mwaka huu hadi mtie akili.Katika historia yangu ya kufuatilia mpira wa Tanzania sijawahi kuona Rais wa TFF ng'ombe na mbumbumbu kama Karia. Nashangaa kwanini amechukua fomu kugombea tena wakati uongozi wake umeharibu sana mpira wa nchi hii. Ikiwa suala dogo tu la kurudisha viingilio vya mashabiki linamshinda, uongozi gani anataka tena? Mpuuzi kabisa.
Kimoja cha nguruweThe Utopolo Jazz Band huu ushindi wa leo wataushangilia karne nzima, utadhani wamechukua kombe. Kipofu kaona mweziππππππ
Nafikiri aliyemkimbia mwenzake hiyo tarehe 8 keshajulikana, mujadala ufungwe tafadhari tukutane Lake Tanganyika.Simba haikwepo uwanjani kwa mda wa awali ,Je Yanga walionana na makamishna na marefa wa huo mchezo uwanjani?je sheria inasemaje timu kukimbia uwanjani bila kuwepo kwa makamishna na marefa wa huo mchezo?
Kauli ya kombe baada ya kimoja, mbumbumbu oyeeeeKimoja cha nguruwe na kombe moja la nguruwe. Utopolo oyeeeeeee!!!!
mkibiwe kwa sababu zipi wakati kombe ya ligi tunachukuaNafikiri aliyemkimbia mwenzake hiyo tarehe 8 keshajulikana, mujadala ufungwe tafadhari tukutane Lake Tanganyika.
Mlikuwa mnakimbia kipigo maana tarhe 8 yalikuwa Ni mauaji.mkibiwe kwa sababu zipi wakati kombe ya ligi tunachukua
hakuna aliyekimbia mechi ,tff walisogeza mechi,aliyekimbia ni yule aliyewahi akatorokaMlikuwa mnakimbia kipigo maana tarhe 8 yalikuwa Ni mauaji.