Kwa ufupi huu sio utabiri isipokuwa nimeita utabiri kutokana na dhana ilivyo kwa sasa ,hasa kipindi hiki cha betting
nikiwa naandika uzi huu hivi sasa ni saa 11 Na dakika 7 jioni, mechi ya simba na yanga inaenda kuchezwa pale mkwakwani tanga majira ya saa 1 Kamili jioni
nikiwa na uhakika na hili jambo wewe kama unabisha sawa unitukane sawa lakini mwisho ya yote saa tatu jioni nitarudi kuthibitisha hili hapa jukwaani kwa kile ninacho enda kukisema saivi
IKO HIVI:
1. Yanga anaenda kuwa BINGWA WA NGAO YA JAMII PALE MKWAKWANI TANGA, nina uhakika asilimia 100, wanasimba wenzangu hata msipoteze muda , kivyovyote itakavyokuwa YANGA BINGWA.
2. Kuna tukio litatokea la ajabu uwanjani litaongelewa wiki nzima kuanzia kesho jumatatu kila kona ya nchi na kwenye vyombo mbali mbali vya habari
UPANDE WA SIMBA:
1. Msimu jana reference ya ubovu wa kikosi simba ilikuwa ni SAWADOGO, msimu huu reference ya ubovu wa simba itakuwa kwa mchezaji fulani alisajiliwa kwa mbwembwe sana , leo atapoteana kila mwanasimba hatakuwa tayari hata kumuona tena uwanjani
2. Utakuwa mwanzo wa kukosa makombe yote ya ndani.
Mwisho! hata mimi ni mwanasimba lakin hizi taarifa zinaumiza
moderator: naomba msiunganishe huu uzi ili uwe reference pale baada ya mechi kutamatika kila mmoja aje Kuniprove wrong.