Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Habari wakuu
Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM
Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.
Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.
Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
Acheni woga, sisi mbona hatuna cb mtatupiga nyongi basi kama mpira upo hivyoMkude ni Holding Midfielder mzuri ila sometimes anakatika, anapokwa mpira kizembe tusipokaa vizuri Yanga leo watatupiga nyingi aisee na sijui tutawaambiaje maana tumejinasibu sisi ni unstoppable
Kwenye game nzito huwa anapotea kabisaMkude ni Holding Midfielder mzuri ila sometimes anakatika, anapokwa mpira kizembe tusipokaa vizuri Yanga leo watatupiga nyingi aisee na sijui tutawaambiaje maana tumejinasibu sisi ni unstoppable
Sio uoga,hayo ni maoni tuAcha uoga bwashee
Habari wakuu
Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM
Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.
Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.
Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
Akpan mzito sana na kukaba sio mzuriAkpah ndo jibu kocha hamuamini
Akpan mzito sana na kukaba sio mzuri
Nlimuona mechi ya juzi
Viongozi ni tatizo matatizo ya Simba yanajulikana lakini wanajifanya wanajua wanasajili Akpan wakati Fraga alikuwa anaomba kurudi mkude sijui kawapa nini
Afadhali Kanoute wengine sijui wanafanya nini paleKila siku tunasema mkude,mzamiru ,kanoute na huyo Akpan zote ni takataka
Akpan ndio jibu letu pale mkude pumzi zake za dk45 tu......Habari wakuu
Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM
Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.
Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.
Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
Mkude na Akpan, hawa wengine mmmhAfadhali Kanoute wengine sijui wanafanya nini pale