Simba hatuna namba 6 ya maana na hatuchezi kiteam

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM

Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.

Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.

Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
 
Acha uoga bwashee

Mkude ni Holding Midfielder mzuri ila sometimes anakatika, anapokwa mpira kizembe tusipokaa vizuri Yanga leo watatupiga nyingi aisee na sijui tutawaambiaje maana tumejinasibu sisi ni unstoppable
Acheni woga, sisi mbona hatuna cb mtatupiga nyongi basi kama mpira upo hivyo
 
Kocha ni mpya ilikuwa anatest playing style gani inamfaa hawezi akawa kama yanga ambaye kocha wao ni wa mda mrefu yaani mashabiki wa Tanzania sisi ni soka letu kivyetu vyetu tunataka matokeo ya mda mfupi kumbuka kocha hajafikisha hata miezi miwili hata team hajaijua vuzuri na wachezaji ndo maana senzo alisema vile pale arusha wabongo kwenye soka bado sana.
 
Mimi nilishangaa sana hiyo kamati ya usajili ilimkimbilia Akpan wakati hana tofauti kiuchezaji na mkude ama kanoute
Habari wakuu

Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM

Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.

Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.

Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
 
Habari wakuu

Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM

Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.

Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.

Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
Akpan ndio jibu letu pale mkude pumzi zake za dk45 tu......
 
Back
Top Bottom