Simba hii inakufa kama zilivyokufa African Lyon

Tatizo la Simba Kama alivyosema baadhi ya wadau ni mwekezaji,uongozi na wanachama.
Wanachama kiasi kikubwa ni tatizo kwani wanaweza kufanya maamuzi Ila hawafanyi.
Pia Simba imeruhusu wanasiasa wawe na sauti Hilo ni tatizo kubwa kwao.
Wanasiasa gani wana sauti hapo Simba ?
 
Kwani baada ya zile mechi za kwanza za Dar ambapo Simba alifungwa 1-0, msemaji wa Yanga alibaki na kauli za ki-solidarity?
Msemaji wa YANGA hajaitolea maneno ya kifedhuli ( kunya ) Serikali.
YANGA hata wasiporidhishwa na maamuzi ya Serikali hawana kiburi.
Rejea swala la Fei Toto au Manji kukataliwa kurudi kwenye Uenyekiti wa Klabu baada ya kujiuzulu wakati Lipumba aliruhusiwa kurudi kwenye Uenyekiti wa CUF katika mazingira yanayofanana.
 
we ndugu yangu... huo ni mfumo tu.. Simba na Yanga hata waiilopokee vipi serikali..huwezi kusema wamejinyea... Yanga inafurahia huu mfumo wa mama Samia.. Simba utafurahia mfumo wa raisi mwingine ajaye... matusi na dharau anazopewa Simba sasahivi.. alisha pewa sana Yanga misimu minne ya nyuma ambayo Simba alichukua back to back.. ko hii ni kawaida tu... hukumbuki kipindi cha JK Yanga walitwaa sana... Simba wakatwaa kwa Magu.. leo hii Yanga wanataka na Samia... ko tulieni tu mkuu mizani akili kuhisi ana na timu hizi mnaweza kuehuka pasipo sababu...
 
Subiri siku utapigwa goli 9 ndio utajua huo uhuni mnaousapoti ninyi mashabiki wa Dar

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hakuna ninachosapoti. Kwa taarifa yako sijaangalia mechi ya Simba ya mashindano ya ndani toka yaishe Mapinduzi Cup. Hayo unayosema mimi nimeshayasema saaana tu.

Point yangu mnapoingia mkenge kuongea lugha moja ya upande wa pili kuiongelea Simba yenu kuweni makini pia.
 
Kwa hiyo msemaji wa Yanga kutoa kauli za kejeli dhidi ya Simba baada ya kufungwa na Al Ahly haitofautiani na kauli na msisitizo wa serikali kuwa kuwe na umoja?

Yanga hawawezi kuwa na kiburi na serikali kwa sababu Yanga ni taasisi ya CCM, muambiwe mara ngapi ili muelewe? Ndiyo maana wengine tunashangaa mtu wa serikali kutoka kukemea klabu ya Tanzania kusapoti timu za nje zinapokuja hapa wakati hao kina Hersi hawakuwahi kuwajibishwa na vikao vya chama.
 
Wanasiasa gani wana sauti hapo Simba ?
Unajua try again anasimamoa biashara za nani?
Mangungu kawekwa na nani?
Vunja Bei aliwekwa na nani?
Kwanini mo katika wajumbe wa bodi lazima aweke wanasiasa.
Uliuliza watu ndani ya Simba watakwambia na hao wanasiasa ndio waliilazimisha tume ya ushindani kupitisha mchakato pamoja na kujua una walakini.
 
Hawa madogo taabu kwelikweli. Hebu tuondolee ushamba wako hapa.
 
a
 
Hii timu ifungiwe ije timu ingine inatuaibisha na huyo mayele boya hivi kashaanza kazi ya kutetema maana hapo nikutetema tu hana inshu ingine
 
SIMBA SC mbona iko njema tu wakuu sio kama mnavyotaka kuaminisha umma halafu ni kawaida tu team kudhoofu na sio mara ya kwanza kwa mnyama kuwa hv

Ni swala la muda tu team itakuwa imara
 
SIMBA SC mbona iko njema tu wakuu sio kama mnavyotaka kuaminisha umma halafu ni kawaida tu team kudhoofu na sio mara ya kwanza kwa mnyama kuwa hv

Ni swala la muda tu team itakuwa imara
Kipindi cha nyuma huko Simba inapokua na migogoro hua haiathiri sana performance uwanjani kwa sababu wachezaji walikua hawajiingizi kwenye hiyo migogoro tofauti na Yanga.
Lakini kipindi hiki unahisi hasa wachezaji nao wanachagua upande. Ni hatari kubwa hii.
Muombeni KARIA aisogeze mbele mechi ya tarehe 20/4 vinginevyo mazao ya hiyo mechi ni kukosa hata nafasi ya 4.
NI MTAZAMO TU.
 
Mkuu endelea na kuipondea yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…