Kesho timu ya Simba itashuka dimbani na Vipers sc ya Uganda!
Hii mechi kwa simba ni ngumu endapo wakikurupuka lakini ni nyepesi mno wakifuata haya!
Viper wataumiliki sana mpira dakika za Awali kuanzia mwanzoni hadi dakika ya 18 ya mchezo!
Kutokana na hili SIMBA Waanze na mbinu ya kujilinda/kujihami Defensive na wajitahidi sana.
Pia Michezo ya faulo au chenga chenga katika eneo lao la ulinzi waziepuke hasa katika kipindi cha awali cha mchezo (dakika ya 1~18)
Vipers watakuwa na nguvu hasa pasi za chini chini itakuwa rahisi sana kwao kupokonya mipira,
HIVYO Simba kwa dakika hizo za awali dakika ya 1~18 SIMBA wacheze DEFENSIVE BALL na waepuke kabisa mipira ya chini, Simba wacheze mpira wa juu, juu.
Mipira ya juu, kichwa au kurushwa itawasumbua sana VIPERS!
Wasababu Uchawi walioutega VIPER'S ni uchawi wa Umande! Hivyo nguvu yao itakuwa chinichini tu! Sasa nawashauri SIMBA wasithubutu kucheza mipira ya chini chini kwa dakika za awali (1~18).
BAADA YA HAPO ITAKUWAJE
Baada ya dakika 18 kupita uchawi wa Umande (utakauka) VIPERS! Watapaniki!
Kipindi hiki kuanzia dakika 18~45 simba sasa wanaweza kuanza mashambulizi ya kushitukiza (double straika) lakini walinzi wa simba waendelee kuepuka kufanya chenga katika eneo lao hasa robo ya uwanja kutoka lango lao!
Kipindi cha pili SIMBA boli litembee (wanaweza kushusha mpira chini wacheze kama kawaida maana Uchawi wa Umande waliouandaa VIPERS utakuwa umekwisha) SIMBA mpira wataumiliki na kuutawala mchezo kipindi cha pili, Hata manadiliko (Substitute) Simba inaweza kufanya kipindi cha pili kutoka DEFENSIVE kwenda kuongeza nguvu katikati na sehemu ya ushambuliaji zaidi!
Nawaasa Washambuliaji wa simba wasipaniki hasa wakiwa kwenye harakati za kufunga, wasinyimane pasi maana lango la ushindi litakuwa mikononi mwao! Kipindi chote cha pili!
Zingatio: Hayo yote yatawezekana wanachotakiwa kukizingatia wasikubali kufungwa goli la mapema hasa dakika ya 1~18! Wakifaulu hilo SIMBA watarudi na ushindi
LAKINI kama SIMBA wataingia kwenye mchezo wa VIPERS watake kulitembeza boli mapema, watafungwa vibaya mno!
Narudia tena dakika 1~18 ni kiama kwa simba wazingatie kujilinda zaidi, kutoa mipira inje, wacheze mipira ya juu kwa wingi, wapoteze muda n.k hadi hizo dakika ziishe!
Nimeandika haya mapema kabisa Leo ijumaa kabla ya mechi ya simba Kesho!
Mkifanya kinyume na haya mtapigwa kipigo cha mbwa koko! Mkikubali goli la mapema halichomoi hata mkipewa penalty mtakosa tu!
Lakini msipofungwa dakika za awali basi mtawafunga wao!