Simba hii tujiandae CAF kutoka

Simba hii tujiandae CAF kutoka

Zaidi ya 60% ya first 11 ya Simba hawakucheza. Halafu wewe ndombolo ya solo unakuja kutupayukia humu.
Innonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Phili
Mzamiru
Wote hao hawakuwemo Sababu mbalimbali ikiwemo kukanyangwa na mahasimu wa simba na kuumizwa.
Timu first 11 ndio akina MZAMIRU, KANOUTE, MKUDE, CHAMA, SAKHO??

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ila Simba ni [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ukiwa shabiki Popcorn. Utabeza Uwezo wa kocha. Lakini kama wewe ni MTU wa Mpira utajua Nini kocha Anafanya.

Kinacho wasumbua mashabiki popcorn ni Mazoea.

Hatuwezi kufanikiwa kama timu ya simba kama tutaishi kwa mazoea. Kila kocha Anamfumo wake. Na uzingatia Mfumo wake.

Mashabiki popcorn muwe watulivu mambo mazuri haya hitaji haraka.

Leo mashabiki wa Arsenal raha wanazopata ni Matokeo ya Uvumilivu kwa kocha wao kwani ilimchukua miaka 3 kuijenga Arsenal tunayoiona Leo.
 
Kikosi cha pili pia mnalalamika kweli Africa soka letu kivyetu vyetu
 
Yaani tunavyocheza saivi ni bora kupoteza mechi ukiwa na mgunda kocha mkuu kuliko kushinda mechi ukiwa na robertinho kama kocha mkuu [emoji23] ,......tunashinda lakini furaha hakuna game ya pili hii tangu achukue timu tunashinda huku timu pinzani ikiongoza kwa possession, tunaomba mpira uishe huku tukijilinda muda wote
Yanga ndo walitumia mifumo hii misimu minne sasa kuhakikisha Simba hashindi sasa we unashangaa nini hapo? Dunia ya kuchezea mpira imepitwa na wakati sasa hivi ni matokeo tu
 
simba huwa mnalazimisha ukubwa ambao hamna!
Ukiondoa nchi ya Kongo, zunguka nchi yoyote hapa afrika uliza klabu mbili za tanzania, utaambiwa simba labda na namungo. Endelea kujiliwaza na unbeaten zako.
 
Ukiondoa nchi ya Kongo, zunguka nchi yoyote hapa afrika uliza klabu mbili za tanzania, utaambiwa simba labda na namungo. Endelea kujiliwaza na unbeaten zako.
Simba inatambulika Kwa ishu za Ulozi, wanga wa mchana, wanga wa kimataifa zaidi ya hapo hakuna anaye itambua Simba timu isiyo na taji lolote la Caf.
 
Mgunda kaipeleka timu group stage kibabe ila huyu kocha mpya itaitoa Simba group stage kwa aibu kubwa,tangia kaja sijaona alichoongeza kwenye timu,sijaona sijaona.
Mbna watu kama vle hamjiw mpira ad nataman niwatukanee kabisa m2 ana mech ngap then unaanza ku judge hv mashabiki wa bongo tuna matatizo gan na utakuta alieanzisha uzii huu nae ana famiLiaa
 
Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu. Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi tunayo aisee.

Mfumo wa 4-4-2 hautulipi kabisa.

Jana SAIDO hakuwa na utulivu kwa sbb ya mfumo why tusicheza na striker mmoja ili kubalance ktkt. Robertinho aambiwe kuwa timu inahtaj utulivu kuliko kubutuaaa tu
Kama ndoivo ulivyoandika wewe mbona Simba walitangaza nafasi ya kocha mkuu kwan wewe hukutuma CV?
 
Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu. Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi tunayo aisee.

Mfumo wa 4-4-2 hautulipi kabisa.

Jana SAIDO hakuwa na utulivu kwa sbb ya mfumo why tusicheza na striker mmoja ili kubalance ktkt. Robertinho aambiwe kuwa timu inahtaj utulivu kuliko kubutuaaa tu
Makocha na manabii mmekuwa wengi siku hizi
 
Mbna watu kama vle hamjiw mpira ad nataman niwatukanee kabisa m2 ana mech ngap then unaanza ku judge hv mashabiki wa bongo tuna matatizo gan na utakuta alieanzisha uzii huu nae ana famiLiaa
Kulikua na sababu zipi za kuleta kocha mpya aanze upya mifumo yake wakati tayari timu ilikua inatembea vizuri chini ya Gunda?
 
Mgunda kaipeleka timu group stage kibabe ila huyu kocha mpya itaitoa Simba group stage kwa aibu kubwa,tangia kaja sijaona alichoongeza kwenye timu,sijaona sijaona.
Na nyie ifike wakati muache unafiki. Si ndio nyie mliokuwa mnabeza Simba kwenda group stage na kocha Mgunda? Si ndio nyie mliokuwa mnalalamika kuwa Mgunda hana uzoefu na michuano ya kimataifa na kwamba kule ataenda kutia aibu tu? Ameletwa kocha mpya mnaanza kuponda tena... Shame!!!!
 
unaruka ruka tu.embu weka iyo comment yangu ya kumbeza Gunda?
 
Ungeandika vizuri kwa kusema mjiandae kutoka kwa aibu
 
Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi tunayo aisee.
Ni ujinga kuchagua mechi moja na kuifanya ndio kipimo cha uwezo wa kucheza CAF. Kwa nini hukuchagua mechi ambayo Simba ilicheza Dar na Prisons ?
 
Ungeandika vizuri kwa kusema mjiandae kutoka kwa aibu
Simba haijawahi kushika mkia kwenye kundi la michuano ya CAF. wakati huo huo, Yanga haijawahi kutokushika mkia mara chache ilipoingia kwenye kundi la michuano ya CAF

1674622421172.png
 
Back
Top Bottom