Simba hii ya Baker Inatisha: Yanga tujiandae kisaikolojia

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,069
Reaction score
25,172
Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya kushambulia sana. Tujiandae kisaikolojia, kwani wanaweza kutupokonya makombe yetu; tukumbukue wameshataupokonya kombe moja
 
ebana kwa kombinesheni uwanjani saivi ni atari jamaa hatabiriki anakuja na nani na nani atakaa benchi
 
Lakini ukifatilia takwimu za ufungaji zinazungumza tofauti.

Hii imekaaje, timu yenye safu ya ushambuliaji hatari kuzidiwa magoli na timu yenye safu butu?
 
Yanga msimu ujao watafute washambuliaji wazuri wenye uwezo wa kutumia vizuri nafasi wanazozipata lkn kwa waliopo sasa hawawezi kuipeleka timu popote.
 
Back
Top Bottom